Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

MAGALLAH R,
Huyo kwa ongea yake, sauti, na tabia ni CCM, ........ Kwa kifupi ni kuwa CCM walipanga iwe hivyo ili kutafuta ka uhalali. Wapo wengine kadha wakadha wapo mtawasikia kutoka vyama mbalimbali villivyo jitoa, watatangazwa washindi.
 
Hi aibu iliyowakuta ccm Leo nisawa na mtu mzima kujinyea katkati ya soko
 
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika leo na idadi ndogo ya wapiga kura kujitokeza, vyama vya upinzani kujitoa iwavyo vyovyote iwe mmefurahia, mmeumia, mmechukia, Rais Magufuli chondechonde wewe na chama chako tafakarini na mjue ujumbe ambao Watanzania wameufikisha kwako na serikali yako.

Nchi hii ni yetu sote au labda ikiwapendeza ni mali ya CCM, lakini wanaishi watanzania wote. Ya kujifunza ni haya; umejenga Standard Gauge, Stiegers Gorge, umenunua ndege na kwa mujibu wako umefanya ambayo hata marais waliopita hawajayafanya, iweje leo Watanzania na wanaccm wasijitokeze kwa mamilioni kukuunga mkono?
 
Nilienda kituoni kufanya utafiti. Kweli inasikitisha. Turn out ndogo mno kuanzia asubuhi mpaka wanafunga. Hakuna foleni mpiga kura anajitokeza mmojammoja tena kwa kupishana madakika kibao. Muda ya mwishomwisho ni kama hakukua na wapiga kura kabisa mpaka msimamizi anauchapa usingizi.
 

Hiyo ni ishara kuwa watanzania hawataki siasa za kishenzi na maendeleo yanaweza kuletwa na kiongozi yoyote. Cha muhimu kwao ni demokrasia yao.
 
Asikudanganye mtu ccm Tabora wamepita nyumba kwa nyumba leo hii wakiomba watu waende kupiga kura baada ya kuona watu hakuna vituoni, picha, video zipo.
 
Kwani mmemaliza kuhesabu kura za mamilioni ya wapiga kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…