Matokeo: Vodacom Premier League, Prisons 2 - 0 Yanga SC uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya

Hahahaaaa. Huruma mlitia nyie Mtani misimu mitano hola.

Ndio sababu baadhi ya mashabiki wenu wanakaribia kuwehuka sababu utakuta toka waanze kuipenda Simba hawajui nini maana ya Ubingwa. Koh koh koh.
Pole njoo nikupe faraja
 
Mbali na yote tunayopitia bado sikati tamaa. Kila la kheri timu yangu pendwa Yanga.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Nimeipenda sana hii maana imekaa kama walivyo mashabiki wa Arsenal!
 
Haki Ya Nani Anachokizungumza HAJI MANARA Ndani Ya Azam TV Muda Huu Mungu Ndiye Anayejua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Eti "Njaa Kali"
πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa viongozi wa yanga wanangoja nini klabuni, wakabidhi timu haraka kwa wanachama,
 
Yani yanga ilichonifanya juzi na leo hali vile wamenikera xn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…