Ni sawa na kusema aliyesoma Chemistry ya O-level anafanana na Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Chuo Kikuu. Atajiita Mkemia. Ni ujinga tu na uelewa wa ki clinical officer kufananisha basic clinical medicine ya CO na MD. Hivi ninyi mna shida gani? Najua clinical officers wengi walienda kusoma hiyo course wakidhani watakuwa madaktari, ila baada ya kufika huko wanashangaa hawajafikia level hiyo. Sasa huwa mnataka kulazimisha.
Sawa mkuu ngoja tuone itakuajeUle mtihan sio wa nacte ni wa wizara
Kwa hiyo wenye mamlaka ya kufuta mtihan ni wizara ya afya
We ni mwehu?Kwahiyo CO sio daktar daa?
Hujitambui.Wapeni heshima CO wote nchini coz wanachapa kazi kuliko ma MD wenu hao
Kumekucha
Ujinga wako n ujinga wa kipekeeNi sawa na kusema aliyesoma Chemistry ya O-level anafanana na Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Chuo Kikuu. Atajiita Mkemia. Ni ujinga tu na uelewa wa ki clinical officer kufananisha basic clinical medicine ya CO na MD. Hivi ninyi mna shida gani? Najua clinical officers wengi walienda kusoma hiyo course wakidhani watakuwa madaktari, ila baada ya kufika huko wanashangaa hawajafikia level hiyo. Sasa huwa mnataka kulazimisha.
Ni nani? Na kwann ofisi yake iitwe ofisi ya Daktari?CO sio Daktari,acheni kurahisisha mambo..huku mitaani hata Wale wa certificate Co nao hujiita Daktari.. very sad
Ujinga wako n ujinga wa kipekee
Atleast umeongea kitu mkuuMD=general practitioner...hana tofaut na CO ..GP kaz yake kuandika referral kwenda kwa specialist.... kama MD unataka respect au kucompete na CO au kujifanya bora... kasome specialization...Over
Hakuna Tofaut yeyote kati ya MD na CO kwenye kufanya kaziNi sawa na kusema aliyesoma Chemistry ya O-level anafanana na Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Chuo Kikuu. Atajiita Mkemia. Ni ujinga tu na uelewa wa ki clinical officer kufananisha basic clinical medicine ya CO na MD. Hivi ninyi mna shida gani? Najua clinical officers wengi walienda kusoma hiyo course wakidhani watakuwa madaktari, ila baada ya kufika huko wanashangaa hawajafikia level hiyo. Sasa huwa mnataka kulazimisha.
Hakuna Tofaut yeyote kati ya MD na CO kwenye kufanya kaziCO sio Daktari,acheni kurahisisha mambo..huku mitaani hata Wale wa certificate Co nao hujiita Daktari.. very sad
Kitu kikimshinda CO ... most likely MD nae hafanyi kitu, hawa watu wamesoma general tu , hawana u specialist wowoteKweli huyu jamaa bwege haswa
Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.Hakuna Tofaut yeyote kati ya MD na CO kwenye kufanya kazi
Wote ni watu wa kaunta , anachofanya CO kwenye zahanat au kituo cha afya n hicho hicho anafanya MD hospital au kituo cha afya, kazi zao ni general
Diagnosis ya Malaria atakayo kufanyia MD n hiyo hiyo anayokufanyia CO , na Jambo ambalo litashindikana kwa CO n nadra sana MD kua na ujanja nalo , yanapilitiza moja kwa moja kwa wenye uwezo wao
C.O ni daktari wa ngazi ya diploma,acha kukariri majina mzee.CO sio daktari. Toa hayo maneno 'matokeo ya udaktari".
Mkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Naona watu wamegeuza mabishano badala ya kujadili mada hapo juuC.O ni daktari wa ngazi ya diploma,acha kukariri majina mzee.
C.O na M.D tofauti yao ni maarifa lakini wanatambulika katika dhima ile ile ya kutibu.
C.O anafanya kazi gani tofauti na M.D ?Clinical Officer (CO) ni non clinician physician. Si daktari. Daktari ni yule aliyesoma Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) au Doctor of Medicine (MD).