Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mambo mengine siyo ya kucheka. Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi hawa wahanga wa haya matokeo. Hiyo shule ina matangazo kibao mjini kumbe ni kiwanda cha kuzalisha div. zero. Tujiepushe nayo wajameni