Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

Mwalimu wa kiswahili apewe maua yake.
 
Sasa wanafunzi wawili si unawapeleka invigilators tu hoteli nzuri na chakula wanafaulu
 
Walikuwa wanatest mitambo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…ila **** center kweli kuna watu hawan kismart cha kusoma wanafeli sana hizo center
Hii shule si kituo cha kufanyia mitihani kwa private candidates. Vituo vyote vya kufanyia mitihani kwa watahiniwa binafsi huanza na herufi P (private candidates). Hivi vya sekondari vinaanza na herufi S. Ila shule inaweza kuwa na kituo cha watahiniwa binafsi na pia wale wanafunzi wa kawaida. Kinachowatofautisha ni Ile herufi ya kwanza P au S ikifuatiwa na namba ya kituo husika.
 
Wametisha kinomaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…