Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?Mwaka huu wanafunzi wengi naona wameanguka sana somo la Physics, nini yaweza kuwa tatizo. Hongera kwa wadada waliomaliza st. francis hakika moto wao sio wa nchi hii ingawa wamekuwa wa pili kitaifa ila one za saba wamezipiga kwelikweli.
Bila shaka hata tanzania one atakuwa katoka hapa
Mkuu link ya darasa la nne 2019 hamna nisaidie kuipataMatokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)
Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na subira.
Nitarejea kuleta updates
View attachment 1316881
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.
Sent using iPhone
===
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.
>>Matokeo Darasa la nne haya hapa
Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.
Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.
Matokeo kidato cha pili haya hapa
KEMEBOS KAGERA..Shule gani imeongoza kitaifa? majina ya wanafunzi vipanga wa Taifa
Duu Nina subil kwa hamu apa ya Drs LA 4 Nina bonge LA fimbo Ninja Jr akialibu tu ninae
HahahDuu Nina subil kwa hamu apa ya Drs LA 4 Nina bonge LA fimbo Ninja Jr akialibu tu ninae