Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naangaika na link ya matokeo ya darasa la nne nimekosa nasubil badae kidogo ila bado mkuu akitinyanga Kaz ntapata kesi LeoMkuu umefikia wapi na Ninja Jr?
Naona kama hiyo fimbo ilitakiwa itumike kabla ya kufanya mitihani, sio wakati wa kupokea matokeo.
MKUU FORTALEZA ASANTE SANA,HII SHULE YA ARUSHA CATHOLIC WAMENIFURAHISHA SANAMatokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)
Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na subira.
Nitarejea kuleta updates
View attachment 1316881
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.
Matokeo ya Kidato cha nne
Sent using iPhone
===
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.
>>Matokeo Darasa la nne haya hapa
Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.
Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.
Matokeo kidato cha pili haya hapa
Acha basi darasa nne sawa na form two tu haina haja hata ya kuangalia mwambie mtoto abebe begi aende shule kafauluJe darasa la nne?
La nne hamna kufeli, link imewekwa juu hapo, hautaamini hata kama alikuwa kilaza utakuta kapasua vibaya sana 😝😝Wale tunaosubiria LINK kwa ajili ya La nne tuko wangapi,,, kuna mwamba leo ndiyo atatapika hela zote za tuition, visheti, asikirimu alizokuwa anapokea akienda skuli.LETENI LINK aliyefanikiwa kuipata kitu Darasa la nne,mbona sirudi home leo pasina kujua yaliyojili.
mkuu na mm niko naangaika nayo apa Ukipata unichek na mmWale tunaosubiria LINK kwa ajili ya La nne tuko wangapi,,, kuna mwamba leo ndiyo atatapika hela zote za tuition, visheti, asikirimu alizokuwa anapokea akienda skuli.LETENI LINK aliyefanikiwa kuipata kitu Darasa la nne,mbona sirudi home leo pasina kujua yaliyojili.
Umesomea hapo? Ulipata changamoto za kupata ajira baada ya graduation za vyuo au ukufika?Hii shule inatongoza toka ninasoma mpaka leo ninasomesha.
Heko kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kila la kheri ila usimuumize mtoto.mkuu naangaika na link ya matokeo ya darasa la nne nimekosa nasubil badae kidogo ila bado mkuu akitinyanga Kaz ntapata kesi Leo
Si ucheki website ya necta?mkuu naangaika na link ya matokeo ya darasa la nne nimekosa nasubil badae kidogo ila bado mkuu akitinyanga Kaz ntapata kesi Leo
Umesomea hapo? Ulipata changamoto za kupata ajira baada ya graduation za vyuo au ukufika?
Hizi data vipi? Form four walikuwa 1.6M lakini kidato cha pili wapo 0.5M. Hizi ni data za nchi yetu kweli?
Napata wasiwasi kuamini kuwa enrolment ilishuka sana kiasi hiki.
mkuu nimejalibu sana apo naona ya mwaka uliopita link nyingi bado zinazingua nikipata ntaleta mrejeshoSi ucheki website ya necta?