Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Sawa mkuu kila la kheri ila usimuumize mtoto.
Kama hakufanya vizuri nitafute PM nikupe ushauri flani jinsi ya kumsaidia asome vipi na mengineyo nina uhakika utaona mabadiliko makubwa sana.
nashukuru mkuu nikipata tu nakuja na mrejesho
 
Shule gani imeongoza kitaifa? majina ya wanafunzi vipanga wa Taifa
Husiowapenda ndo wanakuongoza kitaifa.

Naam kemebos kutoka kagera
tapatalk_1578575493880.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni mliofaulu na mlioshindwa msikate tamaa mnaweza kurudia mwaka huu
Matokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)

Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na subira.

Nitarejea kuleta updates
View attachment 1316881
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.

Matokeo ya Kidato cha nne

Sent using iPhone

===

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.

>>Matokeo Darasa la nne haya hapa
Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.

Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.
Matokeo kidato cha pili haya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom