Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Mwaka huu wanafunzi wengi naona wameanguka sana somo la Physics, nini yaweza kuwa tatizo. Hongera kwa wadada waliomaliza st. francis hakika moto wao sio wa nchi hii ingawa wamekuwa wa pili kitaifa ila one za saba wamezipiga kwelikweli.

Bila shaka hata tanzania one atakuwa katoka hapa
Dogo langu kanambia prac ilikuwa shida
 
Link ya matokeo kidato cha Pili please? Shukrani
 
Shule za umma hoi hali ni tete sana na hii elimu bure.
Mchuano watauweza wapi wakati changamoto ni kibao? Siku tukiamua priority ni elimu kama Hayati baba wa Taifa basi ndiyo tutaona mabadiliko. Shule za umma zilikuwa ni kiboko.
 
1. KEMEBOS SECONDARY SCHOOL
2. ST. FRANCIS SECONDARY SCHOOL
3. FEZA BOYS SECONDARY SCHOOL
7. MARIAN BOYS
4. CANOSSA SEC SCHOOL
8. ST. AUGUSTINE TAGASTE SEC SCHOOL iko Kimara Temboni
 
Magufuli awapeleke vyuo vya ufundi. Asitujazie watu asioweza kuwaajiri halafu baadae analia lia.

Hii ndio kazi ya ndalichako: Kushughulikia mustakabali wa elimu ya Tanzania badala ya kuropoka viingereza vya kihuni huko kwenye sites!

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTENi aibu kwa waziri kutoa "broken" ya daraja la 1.
 
Back
Top Bottom