Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Hongereni wazazi mliofaulisha Watoto wenu. Na pia kwa mliofelisha msikate tamaa Kuna vyuo vya ufundi pia vinaweza saidia kuwapeleka Watoto wenu huko.

Pia naomba kutoa ushauri kwa wazazi ambao mnauwezo wa kipesa na Watoto wenu wamefaulu vizuri(div 1&2) msiwapeleke Watoto wenu advance badala yake muwapeleke Diploma za Maana kufupisha msafara wa elimu usio kuwa na Maana.
Ila Kama hujiwezi kiuchumi muache mtoto aende advance akatafute ticket ya kupata mkopo wa chuo ili afikie malengo yake.
 
Mwaka huu wanafunzi wengi naona wameanguka sana somo la Physics, nini yaweza kuwa tatizo. Hongera kwa wadada waliomaliza st. francis hakika moto wao sio wa nchi hii ingawa wamekuwa wa pili kitaifa ila one za saba wamezipiga kwelikweli.

Bila shaka hata tanzania one atakuwa katoka hapa
 
Top 10 ni zip? ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu link ya darasa la nne 2019 hamna nisaidie kuipata
 
Shule gani imeongoza kitaifa? majina ya wanafunzi vipanga wa Taifa
 
Sisi QT sugu tunayasubilia kwa hamu,wayaweke faster tujue mwaka huu tunaanza kureseat somo gani tena
 
Wewe ni nani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…