Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Hatari Sana
Yaani NumberZao
Halafu Hawapokei
 
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.

Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.

General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D

Ni dvsn 3 ya 14.
 
Duh basi elimu imekuwa ngumu sana maana enzi zetu ilikuwa ukiwa na hizo marks mapema sana degree unaenda.
Kabsa..kipind cha nyuma mfumo ulikua tofauti sana..nina schoolmate mmoja alipata div 3 ile ya mwsho mwaka 2013..akaenda medicine Kcmc..lakin hilo tokeo kwa kipind hiki, degree dah inakua ngumu hiv hatakama mtu kasoma sayans bado changamoto anapata...
Hlf kusoma saiv kama hakuna morali sana hata wazazi baadhi wamekata morali ya kusomesha..kam mzazi yuko vzr bas anamuezesha kdgkdg
 
Kwa ufaulu huo serikali hukosi mkuu ila kesi yako ya MD ndo utata uliopo otherwise uwe na mbuyu maana now daiz chuo ndo kinadahili sio TCU tena
Anhaa , kwani mwaka jana kuna watu waliopata one ya nane kwa vyuo vya serikali walikosa ?

Wakuu wengine njoen mtoe mchango wenu hapa !

Kwa md ?
 
Andaa pesa
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.

Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.

General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D

Ni dvsn 3 ya 14.
 
Dah hata hivyo kwa sasa una-apply chuo kipi hicho ambacho NACTE wametangaza?
 
afadhali yatoke hawa wanafunzi watupunguzie jam, na stress huku JF
 
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.

Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.

General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D

Ni dvsn 3 ya 14.
13 iyo mkuu andaa pesa
 
pole sana mtoa hoja hii ILA umepeleka malalamiko yako kusikotakiwa lini tutaanza kutumia taasisi katika kutatua issue kama hii?why kila kitu kiende kwa our no 1?je atakapomaliza muda wake na kuingia mwingine mwenye utendaji tofauti itakuaje?BUT TUKIWA NA TAASISI imara na huru ,wapangaji wa pale magogoni hawataweza kubadili kirahisi hizi taasisi,issue yako tungekuwa na public protector au judiciary huru,wangesaidia hii issue.
 
Pia NACTE kwa sasa bado hawajafungua dirisha la maombi. Matokeo ndio yametoka leo itabidi mifumo iwekwe sawa ili isomane ni jambo linachukua muda kidogo the same apply to vyuo chini ya TCU na HESLB
 
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.

Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.

General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D

Ni dvsn 3 ya 14.
Saut zote, Mwal Nyerere, Makumira anasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…