Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Eti huyu naye anajinadi kuwa anachangia hoja ya msingi.
Mwenzio alichokileta hapo ndicho kilichopo.
Kwa umakini nimeangalia kwenye list ya majina tuloitwa Written interview ya Maafisa Uchunguzi, jamaa mmojawapo hapo hayupo, lakini ameitwa kwenda kwenye Oral interview. PDF zote ninazo.
 
Kwani mtoto wa Pinda hana vigezo vya kupewa ajira?

Mbona mnalalamika ubaguzi wakati acy wabaguzi ni nyie?
 
Mimi na miaka 40+ sina nguvu tena ya kupambana na SAILI.
 
Yaan natamani nikwambie ila basi tu, hao TISS mishahara yao ni midogo mno. Tofauti ya TISS na POLISI ni ndogo sana yaan ni ndogo saaaaaaaana.

Huo mshahara uliotaja wewe ni mkubwa sana. Hiyo 2.2 igawanye mara mbili ndio mshahara wao mzee.
sio kweli mkuu
 
sio kweli mkuu
Amini kwamba. Ninachokuambia ni kweli kabisa, naona kila siku. Sio nabahatisha, najua. Labda uwe kitengo cha ulinzi wa viongozi, nako ni posho ndio hukubeba na sio mshahara. Au labda uwe kwenye operesheni maalumu kama ile ya kibiti niliona kidogo kwa siku wanapata pesa kama 50k-100k kwa siku. Hapa mtandaoni mnadanganyana mno. Mishahara ya hao jamaa ni ufanano na idara zingine za ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…