Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

Nani kapokea emails jamani, wamesema watatuma emails kwa waliofanya Oral Interview.
Wamesema watatuma Leo 28 May, 2025.
Mbona kimyaaa au ndio kichinjio?
 
Nani kapokea emails jamani, wamesema watatuma emails kwa waliofanya Oral Interview.
Wamesema watatuma Leo 28 May, 2025.
Mbona kimyaaa au ndio kichinjio?
Kuna mtu namfahamu kanipigia kasema amepata email jioni hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…