Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
-
- #261
Huko Telegram sijawahi ona cha maana, lakini watu wanasepa kuna balaa sielewi balaa gani.
Nipe mkuu.Huna connection
AiseeKuna mtandao mkubwa sana, ili uweze kuona lazima uwe member wa magroup yao
Duuhh....!! Hii sina data ya kunifanya niongeeNa asilimia kubwa ni single mothers ndio wanauza zaidi..pia kuna makabila yameingia uko kw kasi kisa wana rangi nyeupe
Hey mamboHivi wanunuzi hawafanyiwagi tafiti?
Wataalam wa supply n demand mwasemaje kwani?
soko halina impact yeyote kwa bidhaa/huduma.??
Huku highlight locatio ya users hao wa hiyo mitandao...atleast kuoata taswira ya wapi wapo wengii hao wachuuzi!!!Pole sana.
Update your information.
Kingine kuhusu tafiti. Nashauri ufanye utafiti wa madalali.
Wapo madalali wanaosema kabisa Wana mabinti wa vyuo..ukitaka wanakutumia picha unachagua wanakuletea labda hili litathibitisha ukweli au uzushi.
Hii n ukweli na ushahid wa madalali ninao mpaka cyo tu wanafunz wa chuo au wake wa watu wa hali ya kawaida mpka wake wa ma celebrity na hadii hao maceleb wa kike wanafanya na kuna mtu nafahamiana nae ananunua vipapa sna kwa kutumia madalali
Ni kweli mkuu, sio kila kitu nimeongelea kwenye hii post. Ila waliokua wanajiuza walikua wanatoka mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, na Morogoro.Huku highlight locatio ya users hao wa hiyo mitandao...atleast kuoata taswira ya wapi wapo wengii hao wachuuzi!!!
Duuhhh....!!Hii n ukweli na ushahid wa madalali ninao mpaka cyo tu wanafunz wa chuo au wake wa watu wa hali ya kawaida mpka wake wa ma celebrity na hadii hao maceleb wa kike wanafanya na kuna mtu nafahamiana nae ananunua vipapa sna kwa kutumia madalali
Wabongo tunapenda sana porojo porojo zisizo na facts na data.Niwakumbushe tu, tafiti inapingwa kwa tafiti.
Shukrani sana mkuuIko njema hii
Mkuu wanakwenda sambamba na teknolojiaNaona huko wanauza waziwazi.
Hahahahaha.....!! Vibaya hivyo mkuu. Alitaka shilingi ngapi?kuna mdada wa huko badoo hapo mipango chuo nilimtest akajaa yaani hadi nilimuoneaa huruma..
nikamuacha..
wanachuo ni maisha ya mihogo tu ndo yanawafanya wauze utamu
Wabongo tunapenda sana porojo porojo zisizo na facts na data.