Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Mkuu nadhani tatizo kubwa ni kwamba research nyingi zinazofanyika zinakua funded na mashirika ya nje ya Kimataifa wakiwa na interest ya kuua kitu Fulani...

Hivyo ndio maana research nyingi ziko Dar kwa sababu ndo jiji ambalo lina fahamika kuwa na muingiliano mkubwa na mashirika mengi wanakua na interest. Kuna research moja niliwahi kushiriki kama data collector mwaka 2015 ilifanyika Mbeya, Kyela vijiji vya karibu na ziwani na mpakani interest yao nilikua kuangalia uhusiank wa transmission ya HIV na muingiliano wa wageni na wenyeji kwenye hivyo vijiji
 
Na asilimia kubwa ni single mothers ndio wanauza zaidi..pia kuna makabila yameingia uko kw kasi kisa wana rangi nyeupe
 
Kingine kuhusu tafiti. Nashauri ufanye utafiti wa madalali.

Wapo madalali wanaosema kabisa Wana mabinti wa vyuo..ukitaka wanakutumia picha unachagua wanakuletea labda hili litathibitisha ukweli au uzushi.

Hii n ukweli na ushahid wa madalali ninao mpaka cyo tu wanafunz wa chuo au wake wa watu wa hali ya kawaida mpka wake wa ma celebrity na hadii hao maceleb wa kike wanafanya na kuna mtu nafahamiana nae ananunua vipapa sna kwa kutumia madalali
 
Dalali anapozwa sh ngapi?
 
Huku highlight locatio ya users hao wa hiyo mitandao...atleast kuoata taswira ya wapi wapo wengii hao wachuuzi!!!
Ni kweli mkuu, sio kila kitu nimeongelea kwenye hii post. Ila waliokua wanajiuza walikua wanatoka mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, na Morogoro.
 
Hii n ukweli na ushahid wa madalali ninao mpaka cyo tu wanafunz wa chuo au wake wa watu wa hali ya kawaida mpka wake wa ma celebrity na hadii hao maceleb wa kike wanafanya na kuna mtu nafahamiana nae ananunua vipapa sna kwa kutumia madalali
Duuhhh....!!
Hatari sana.
 
kuna mdada wa huko badoo hapo mipango chuo nilimtest akajaa yaani hadi nilimuoneaa huruma..
nikamuacha..

wanachuo ni maisha ya mihogo tu ndo yanawafanya wauze utamu
 
kuna mdada wa huko badoo hapo mipango chuo nilimtest akajaa yaani hadi nilimuoneaa huruma..
nikamuacha..

wanachuo ni maisha ya mihogo tu ndo yanawafanya wauze utamu
Hahahahaha.....!! Vibaya hivyo mkuu. Alitaka shilingi ngapi?
Ila unaweza kuta hats hayuko chuo Hugo mkuu, kaandika tu kwenye profile na anajifanya hivyo.
Kwenye huu utafiti wetu, wengi waliokua Dodoma walikua wameandika wapo UDOM, Mipango na CBE. Ila ukirusha sentensi mbili za kingereza tu, hola anakwambia mchat kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom