Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
- #261
Mkuu nadhani tatizo kubwa ni kwamba research nyingi zinazofanyika zinakua funded na mashirika ya nje ya Kimataifa wakiwa na interest ya kuua kitu Fulani...
Hivyo ndio maana research nyingi ziko Dar kwa sababu ndo jiji ambalo lina fahamika kuwa na muingiliano mkubwa na mashirika mengi wanakua na interest. Kuna research moja niliwahi kushiriki kama data collector mwaka 2015 ilifanyika Mbeya, Kyela vijiji vya karibu na ziwani na mpakani interest yao nilikua kuangalia uhusiank wa transmission ya HIV na muingiliano wa wageni na wenyeji kwenye hivyo vijiji