T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Maendeleo makubwa hayo ya teknolojiaTembelea kurasa za FB wanajitangaza bila ya woga na bei na huduma wanazotoa weziorodhesha,tena kwa nchi nzima.
Unaona saaa mambo zako .tunakuvumilia tu
Acha wivu weweHiyo tafiti inakusaidia kupata chakula cha kula na familia
Wanaita line twoHizi tafiti ziende na telegram. Kule kuna uchafu sana na lugha ya kificho ya k.toleo la pili na hakuna shoga [emoji23][emoji23]
Hii dunia ya utandawazi tujitahidi kuwapa maadili mema watoto wetu huko tuendako ni kubaya sana hasa life style ya walezi wa siku hizi.
Wazazi tuwe makini sana na mienendo ya watoto wetu na hizi smartphone.
Watu wana research vitu ambavyo vipo wazi kabisa au itakua labda ni wageni hapa nchini.jamani hivi hakuna kabisa vitu vya kufanyia research on?
Comment bora ya threadWeka namba zao na sisi TUFANYE utafiti.
Kivipi mkuu? Kwamba hiyo sio issue? Wasukuma wanasema, "no research, no right to speak". Wabongo tunachukulia for granted vitu vingi sana.jamani hivi hakuna kabisa vitu vya kufanyia research on?
Ahsante kwa observation nzuri mkuu.Wanachuo hawajiuzi mitandao ya aina hiyo. Wanaojirahisisha wanaingia Kidimbwi (wale pisi kali) na wengine maeneo mengine ya starehe kulamba chupa moja ya bia masaa manne kama uzi mmoja wa jana ulivyosema. Kisha anakuja mwanaume anaopoa na kupewa namba baada ya hapo vizinga proportional na kutumika.
Kusema ukweli wanaojirahisisha wengi wana hali ngumu kiuchumi.
Hahahahaha....!!Weka namba zao na sisi TUFANYE utafiti.
Ahsante sana mkuu kwa observation nzuri sana. Hiki kitu Wa Tanzania wengi hatuelewi bado. Mtu anakwambia, "unafanyia utafiti kitu ambacho ni kiko wazi", ukimuuliza ni asilimia ngapi ya wadada walio mitandaoni wanajiuza? Jibu lake litakua "wengi sana".Kazi nzuri mkuu na team yako, mtu anasema hiki kitu obvious lakini ukimuuliza kuhusu data hana. Hili ndo linapaswa kufanyika kwa kila kitu ilikuwa intensity ya tatizo katika jamii zetu.
Vipi wachunguzi wako hawakuliendeleza baada ya hitimisho, kwa hao waliokubali kuja eneo la tukio?. Hii nachomekea tu[emoji28]