Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
-
- #161
Ni kweli mkuu.Suala la ukahaba watu wengi wanafanya haijalishi ni mwanachuo, ameolewa au gate kali.
Issue ya wanavyuo kujiuza hadharani huwa ni hype tu na branding inayotumika na wadada wengi kujipandisha thamani.
Na hiyo ni Kwasababu kuna watu tu kisaikolojia akimpata mwanachuo anajiona yuko juu na hata uhongaji unakuwa mkubwa.
Sana afu yupo sexy sana yani na ile tattoo ya paja alafu anaonekana msafi 😆😆
Very true mkuu. Too sad.
Shukrani sana mkuu
Yeah nasikia huko kidimbwi pamechangamka sana, Nina jamaa yangu aliniadithia alivyoenda tena siku ya kwanza alikomaliwa na binti aondoke naye na kisha ampe 20kNimejaribu kuku tag nikashindwa
Kuna Uzi WA beach kidimbwi
Kuna Dada kasema huko beach kidimbwi
Kuna wadada anawajua alisoma nao IFM
Wanaenda kujiuza..
Nimeona Una connect na huu uzi kidogo
Unafikiri hao hawajapewa maadili mema? Hawajapelekwa kanisani au msikitini? Suala la maadili ni complex sana usichikulie tu maneno ya kanisani au msikitini au ya mwalimu.Mwanzoni wanawake kuvaa suruali za kubana ilikuwa kinyume na maadili sasa hivi vipi si kawaida tu.Mtu akisha vunja ungo balehe mamlaka ya kumkontrol unakuwa huna. Binadamu huchagua njia ya kuishi bila kumlazimisha.Hizi tafiti ziende na telegram. Kule kuna uchafu sana na lugha ya kificho ya k.toleo la pili na hakuna shoga 😂😂
Hii dunia ya utandawazi tujitahidi kuwapa maadili mema watoto wetu huko tuendako ni kubaya sana hasa life style ya walezi wa siku hizi.
Wazazi tuwe makini sana na mienendo ya watoto wetu na hizi smartphone.
Nimeiona mkuu...... Nadhani tunahitaji tafiti nyingi zaidi kwenye haya mambo.Nimejaribu kuku tag nikashindwa
Kuna Uzi WA beach kidimbwi
Kuna Dada kasema huko beach kidimbwi
Kuna wadada anawajua alisoma nao IFM
Wanaenda kujiuza..
Nimeona Una connect na huu uzi kidogo
Umeongea kitu muhimu sana mkuu kuhusu maadili. Watoto wanajifunza zaidi kwa kuiga matendo ya watu wazima kuliko maneno.Unafikiri hao hawajapewa maadili mema? Hawajapelekwa kanisani au msikitini? Suala la maadili ni complex sana usichikulie tu maneno ya kanisani au msikitini au ya mwalimu.Mwanzoni wanawake kuvaa suruali za kubana ilikuwa kinyume na maadili sasa hivi vipi si kawaida tu.Mtu akisha vunja ungo balehe mamlaka ya kumkontrol unakuwa huna. Binadamu huchagua njia ya kuishi bila kumlazimisha.
Inakuwaje wazazi,jamii isio na maadili inataka watoto vijana wao wawe na maadili huku hao watoto wanaona kuwa wazazi in wasanii tu.
Unamkataza mtoto wako asilewe humu wewe unalewa.
Asilimia kubwa ya jamii inashiriki ukiukaji wa maadili, he watoto watapona?
Tena hapo akijifanya kuwa mzungu atawaokota kama kumbikumbi wasichana wa vyuo vikuu haswa wa UDSM, wako very cheap na lose balls.Sijui niseme nini
But first ni hongera Kwa utafiti.
Labda niseme now hiyo biashara imeahamia Telegram zaidi.
Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo.
Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi.
Huko Telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
pale boardroom nilimpeleka mtu ile tunatoka akatokea dada anaomba ampige jamaa bJ ampe 5000[emoji23][emoji23][emoji23]Yeah nasikia huko kidimbwi pamechangamka sana, Nina jamaa yangu aliniadithia alivyoenda tena siku ya kwanza alikomaliwa na binti aondoke naye na kisha ampe 20k
Mwisho jamaa yangu akamkimbia
Wapo na madalali humu kwahiyo cha msingi nachoweza kushauri ni waeleweshe na kama hawataki kuelewa basi achana nao wapuuzeWell said. Yaani mtu anakuja ananitukana na kunishambulia kisa tu eti nimeandika kuhusu huu utafiti. Inashangaza sana hadi unawaza ni stress za maisha, ni uelewa mdogo au watu wa aina hii pia ni moja ha wanufaika wa hii biashara?
Anyways, ndo binadamu tulivyo, tunatofautiana sana.
Yaani pamoja na kuona wewe uko nae bado akawa analazimishia kuwa ampe BJ? Ndo njaa Kali au?pale boardroom nilimpeleka mtu ile tunatoka akatokea dada anaomba ampige jamaa bJ ampe 5000[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha.....!!Hongera kwa utafiti wako mimi ombi langu ni moja naomba hizo namba zote unitumie kwa muendelezo wa utafiti.
Ni kweli yapo na mojawapo ni hii comment yako✍️