Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Suala la ukahaba watu wengi wanafanya haijalishi ni mwanachuo, ameolewa au gate kali.

Issue ya wanavyuo kujiuza hadharani huwa ni hype tu na branding inayotumika na wadada wengi kujipandisha thamani.

Na hiyo ni Kwasababu kuna watu tu kisaikolojia akimpata mwanachuo anajiona yuko juu na hata uhongaji unakuwa mkubwa.
Ni kweli mkuu.
Mtu kwenye profile kaandika 'studies at the University of Dar es salaam', ila ukimrushia sentensi mbili tu za Kingereza anajibu anasema haelewi anaomba utumie Kiswahili. Huyu utafiti ulitufungua macho sana Mimi na team yangu.
 
Nimejaribu kuku tag nikashindwa
Kuna Uzi WA beach kidimbwi
Kuna Dada kasema huko beach kidimbwi
Kuna wadada anawajua alisoma nao IFM
Wanaenda kujiuza..
Nimeona Una connect na huu uzi kidogo
Yeah nasikia huko kidimbwi pamechangamka sana, Nina jamaa yangu aliniadithia alivyoenda tena siku ya kwanza alikomaliwa na binti aondoke naye na kisha ampe 20k

Mwisho jamaa yangu akamkimbia
 
Hizi tafiti ziende na telegram. Kule kuna uchafu sana na lugha ya kificho ya k.toleo la pili na hakuna shoga 😂😂

Hii dunia ya utandawazi tujitahidi kuwapa maadili mema watoto wetu huko tuendako ni kubaya sana hasa life style ya walezi wa siku hizi.

Wazazi tuwe makini sana na mienendo ya watoto wetu na hizi smartphone.
Unafikiri hao hawajapewa maadili mema? Hawajapelekwa kanisani au msikitini? Suala la maadili ni complex sana usichikulie tu maneno ya kanisani au msikitini au ya mwalimu.Mwanzoni wanawake kuvaa suruali za kubana ilikuwa kinyume na maadili sasa hivi vipi si kawaida tu.Mtu akisha vunja ungo balehe mamlaka ya kumkontrol unakuwa huna. Binadamu huchagua njia ya kuishi bila kumlazimisha.
Inakuwaje wazazi,jamii isio na maadili inataka watoto vijana wao wawe na maadili huku hao watoto wanaona kuwa wazazi in wasanii tu.
Unamkataza mtoto wako asilewe humu wewe unalewa.
Asilimia kubwa ya jamii inashiriki ukiukaji wa maadili, he watoto watapona?
 
Maoni ya watu wanataka ukahaba uishe au wanajifurahish tu.Ukahaba ukiisha mtakuwa tayari kupokea negative impact za kukomesha ukahaba.Watoto wa kusingiziwa watakuwa wengi, mimba za wanafunzi, kubakwa kwa mabinti.Wake za watu kuchepuka na mabachela kwa kushawishiwa pesa.
Bora makahaba yaendelee watoto wasibakwe hovyo na hao mafedhuli wanaonunua makahaba.
 
Nimejaribu kuku tag nikashindwa
Kuna Uzi WA beach kidimbwi
Kuna Dada kasema huko beach kidimbwi
Kuna wadada anawajua alisoma nao IFM
Wanaenda kujiuza..
Nimeona Una connect na huu uzi kidogo
Nimeiona mkuu...... Nadhani tunahitaji tafiti nyingi zaidi kwenye haya mambo.
 
Unafikiri hao hawajapewa maadili mema? Hawajapelekwa kanisani au msikitini? Suala la maadili ni complex sana usichikulie tu maneno ya kanisani au msikitini au ya mwalimu.Mwanzoni wanawake kuvaa suruali za kubana ilikuwa kinyume na maadili sasa hivi vipi si kawaida tu.Mtu akisha vunja ungo balehe mamlaka ya kumkontrol unakuwa huna. Binadamu huchagua njia ya kuishi bila kumlazimisha.
Inakuwaje wazazi,jamii isio na maadili inataka watoto vijana wao wawe na maadili huku hao watoto wanaona kuwa wazazi in wasanii tu.
Unamkataza mtoto wako asilewe humu wewe unalewa.
Asilimia kubwa ya jamii inashiriki ukiukaji wa maadili, he watoto watapona?
Umeongea kitu muhimu sana mkuu kuhusu maadili. Watoto wanajifunza zaidi kwa kuiga matendo ya watu wazima kuliko maneno.
Maadili sio suala LA kubadilika kimaajabu, wazazi maadili yawe F, halafu watoto maadili yawe A.
 
Sijui niseme nini

But first ni hongera Kwa utafiti.

Labda niseme now hiyo biashara imeahamia Telegram zaidi.

Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo.

Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi.

Huko Telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
Tena hapo akijifanya kuwa mzungu atawaokota kama kumbikumbi wasichana wa vyuo vikuu haswa wa UDSM, wako very cheap na lose balls.
 
First of all, Dr hongera sana kwa this research this makes you to have right to speak kwasababu umefanya research na una data.

Ubaya wengi wetu watz hatuoni umuhimu wa hizi tafiti na labda tunahisi ni za academicians but nadhani ifike mahala tukubali tafiti Zina majibu sahihi kwa asilimia kubwa kuliko assumptions ambazo mwisho zinachukuliwa Kama norms.

Endelea na moyo huo huo ingawa najua Kuna discouragement unaweza kukutana nazo.

NB: I love how positive you are, very civilized
 
Yeah nasikia huko kidimbwi pamechangamka sana, Nina jamaa yangu aliniadithia alivyoenda tena siku ya kwanza alikomaliwa na binti aondoke naye na kisha ampe 20k

Mwisho jamaa yangu akamkimbia
pale boardroom nilimpeleka mtu ile tunatoka akatokea dada anaomba ampige jamaa bJ ampe 5000[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili ni tatizo jipya su janga la karne hii asilimia kubwa ya wanawake wanajiuza either kwa siri au kwa wazi
 
Well said. Yaani mtu anakuja ananitukana na kunishambulia kisa tu eti nimeandika kuhusu huu utafiti. Inashangaza sana hadi unawaza ni stress za maisha, ni uelewa mdogo au watu wa aina hii pia ni moja ha wanufaika wa hii biashara?
Anyways, ndo binadamu tulivyo, tunatofautiana sana.
Wapo na madalali humu kwahiyo cha msingi nachoweza kushauri ni waeleweshe na kama hawataki kuelewa basi achana nao wapuuze
 
pale boardroom nilimpeleka mtu ile tunatoka akatokea dada anaomba ampige jamaa bJ ampe 5000[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani pamoja na kuona wewe uko nae bado akawa analazimishia kuwa ampe BJ? Ndo njaa Kali au?
Daahhh....!! Sad.
 
Hongera kwa utafiti wako mimi ombi langu ni moja naomba hizo namba zote unitumie kwa muendelezo wa utafiti.
Hahahahaha.....!!
Mkuu si utumie bando unalotumia kuingia JF ujiunge badoo, tinder fasta mbona ndani ya dakika 5 tu utapata namba za kutosha?
 
Back
Top Bottom