Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
- #161
Ni kweli mkuu.Suala la ukahaba watu wengi wanafanya haijalishi ni mwanachuo, ameolewa au gate kali.
Issue ya wanavyuo kujiuza hadharani huwa ni hype tu na branding inayotumika na wadada wengi kujipandisha thamani.
Na hiyo ni Kwasababu kuna watu tu kisaikolojia akimpata mwanachuo anajiona yuko juu na hata uhongaji unakuwa mkubwa.
Mtu kwenye profile kaandika 'studies at the University of Dar es salaam', ila ukimrushia sentensi mbili tu za Kingereza anajibu anasema haelewi anaomba utumie Kiswahili. Huyu utafiti ulitufungua macho sana Mimi na team yangu.