Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

ethically sidhani kama ni sawa ku recruit participants without their consent and second participants should be aware of the research information..and lastly we have a lot of things to research on,this is wastage of time and resources,sorry.

Ethically Kwa mujibu wa nani?
Research nyingi Sana duniani zinafanyika bila wahusika kujua wanafanyiwa research..nyingi mno..

Kwa sababu wakijua Tu watavuruga hiyo research..

Hivi unaweza fanya research kuhusu wanao cheat kwenye mitihani Kwa kuwaambia?
Lazima iwe siri ili research ikamilike
 
Kingine kuhusu tafiti. Nashauri ufanye utafiti wa madalali.

Wapo madalali wanaosema kabisa Wana mabinti wa vyuo..ukitaka wanakutumia picha unachagua wanakuletea labda hili litathibitisha ukweli au uzushi.
Mkuu,

Msmbo niaje??? Umepotea sana mkuu tangu kuondolewa kwa jukwaa letu lileeee(JLW)

Sasa kichaka ni wapi????
 
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Mkuu,

Wana vyuo wenginwapo tinder...wapo sana
 
Ethically Kwa mujibu wa nani?
Research nyingi Sana duniani zinafanyika bila wahusika kujua wanafanyiwa research..nyingi mno..

Kwa sababu wakijua Tu watavuruga hiyo research..

Hivi unaweza fanya research kuhusu wanao cheat kwenye mitihani Kwa kuwaambia?
Lazima iwe siri ili research ikamilike

MNHHHH research yako itakua credible kama itafuata ethics,mtu akiona umeruka ethics wachache sana watakuchukulia serious since watahisi kila kitu umeki frame to fulfil your ego as a researcher na sio kuchunguza vitu kama vilivyo ..kwa mfano hii paper ya huyu kaka hata kuwa published isingekua published in UK, welfare of participants is important and that is the aim of ethics,,,,sijui Tanzania kukoje lakini hili ni swala la ethics comitee kupitisha proposal, sasa sijui kwa nini waliipitisha wakati obvious kuna ethical issues in it.

Kama research yako inahusu kwa mfano wanaocheat kwenye mitihani, still kuna procedure zake,unawaambia in short about the study,ask them their consent and then wakikubali unafanya Research,IN THE END,unakuwa obliged to give INFORMATION WHAT WAS EXPERIMENT FOR ..
 
Mkuu naona kuna baadhi ya vitu unaongea si sahihi. Consent huwa ni mandatory pale tu ambapo research unayofanya ni INTERVENTIONAL.This research did not have any intervention (it was purely OBSERVATIONAL). Ethical clearance was obtained, and the respective ethical board agreed that for this type of research, it can be conducted without consent since its only OBSERVATIONAL and asking for consent would highly affect the results of the study.
Of course consent ni muhimu, but exceptions zipo, na hivyo si kweli kuwa KILA tafiti iliyofanywa bila consent basi inakua not credible.
Nimeona nisahihishe hilo kidogo tu mkuu.
Shukrani once again kwa mawazo yako. Rebeca 83
 
Kuna kampuni moja ya research ilitufanyia semina kuhusu tafiti inazofanya yaani ilinibadilisha mtizamo wangu kwa kiasi kikubwa sana na imenisaidia mno.

Ukiwatumia watu wa research unaweza kufanya mambo makubwa na mabadiliko mengi binafsi au kwa jamii.

Dr. Wansegamila sio kama nakupangia cha kufanya, ila ukipata wasaa ningeomba ufanye uchunguzi kwenye elimu hasa ya msingi maana ndo chum uko last wasomi wetu.

Nashauri uwahoji wanafunzi kuanzia darasa la tano hadi la saba uelewa wao kuhusu wanavyofundishwa kama unaendana na ufaulu wa mitihani ya taifa.
Utakuta shule zinaonesha watoto wana AAA ila wamekaririshwa au miezi 2 ya mwisho kabla ya mtihani walifundishwa mtihani.

Kiwango cha elimu bado kiko chini nchini mwetu ila matokeo ya mitihani watoto wanafaulu......🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Telegram haina haja ya utafiti Kuna magroup kabisa ya wauza papaa mi mwinyewe Nisha jimegea kazaa.tena Ni watu wazima na familia
Tunapataje links za hayo magroup King
 
Kuna kampuni moja ya research ilitufanyia semina kuhusu tafiti inazofanya yaani ilinibadilisha mtizamo wangu kwa kiasi kikubwa sana na imenisaidia mno.

Ukiwatumia watu wa research unaweza kufanya mambo makubwa na mabadiliko mengi binafsi au kwa jamii.

Dr. Wansegamila sio kama nakupangia cha kufanya, ila ukipata wasaa ningeomba ufanye uchunguzi kwenye elimu hasa ya msingi maana ndo chum uko last wasomi wetu.

Nashauri uwahoji wanafunzi kuanzia darasa la tano hadi la saba uelewa wao kuhusu wanavyofundishwa kama unaendana na ufaulu wa mitihani ya taifa.
Utakuta shule zinaonesha watoto wana AAA ila wamekaririshwa au miezi 2 ya mwisho kabla ya mtihani walifundishwa mtihani.

Kiwango cha elimu bado kiko chini nchini mwetu ila matokeo ya mitihani watoto wanafaulu......🤷‍♀️🤷‍♀️
Ahsante sana mkuu kwa insight hizi. Very interesting
 
Biashara pendwa hii isiyo kuwa na hasara ni faida tuuu, wakibana kule huku wanaachia
 
Asante kwa utafiti,

Umehitimisha kwa ushauri kwa wazazi kuchunga watoto wao..sawa je ni sahihi kukosa ushauri kwa Serikali(mamlaka) kwa jambo nyeti kama hili??!! Kwamba hali ya matumizi ya mitandao kwaajiri ya ufuska ifumbiwe tu macho na mamlaka? Hujasikia imezaliwa wizara mpya ya teknolojia ya habari? Huna ushauri kwao kuhusu hili?
 
Wengi mnaongea msichokijua,lengo ka mtoa mada(mtafiti) ni

Kutanya tafiti juu ya suala ka umakaya nchini hasa kwenye mitandao ya kijamii

Kuwapa wazazi tahadhari juu ya mienendo ya watoto wao hata wale wanaodhaniwa kuwa wameelimika na wapo vyuoni(wanafunzi),wake za watu nk

Nb
Suala la yeye kulipwa au la halimuhusu yeyote humu

Je anapata faida au hapati wewe na mimi hayatuhusu

Pasipo utafiti hauna haki ya kudai,kuongea kuhusu takwimu au ....nk

Hiyo ni kazi pia kama kazi nyinginezo

Nahitimisha
 
Back
Top Bottom