Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Kiukweli kule telegram mie naona wakifanya Kama Twitter ilivyofanywa mie naona Ni sawa au telegram wenyewe wachukue majukumu Kama alivyofanya Google au YouTube yan kuondoa content zote zinazuhusu utupu na ngono vinginevyo mpaka December ijayo hata simu za kitochi Yan simu ndogo kabisa itakuwa inatumia 4G internet Sasa hapo kwa watoto wetu nahuko mashuleni na mitaani hakuna atakaepona.

Telegram nimeijua wiki mbili zilizopita Ila nimeikimbia Leo siku ya tatu hata sitaki kuijua tena
Hilo haliwezekani maana telegram app nzuri San watu wanauzia movie sabab ina support video ukubwa wwte , security ya kutosha, unaweza share documents yyte ,data zako haziwezi vuja ppote,

Hawo Malaya ni sehemu ndogo sana ndani ya telegram na hata what's app Wana magroup mbona,

Na kweny magroup na channel za Malay haulazimishwi ww ndo una join au una follow channel na wanazojiuzia
Asa ifungwe kwa lipi Tena, we Cha kufanya tafta na ufollow channel nzuri Kam za betting ,movie ,story, nk
 
Hilo haliwezekani maana telegram app nzuri San watu wanauzia movie sabab ina support video ukubwa wwte , security ya kutosha, unaweza share documents yyte ,data zako haziwezi vuja ppote...
Kweli kabisa, umeongea point sana
 
Wakuu salama?

Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe....
research nzuri, lakini kuna uwezekano kuwa profiles zilikuwa zinaendeshwa na mtu mmoja (mwananume); nikimaanisha mtu mmoja na profile zaidi ya moja anazotumia kuvutia kazi na kutuma wanawake wasio na elimu ya chuo.

so: huwezi jua kazi ya 92, kulikuwa na wasichana wangapi.
inawezekan ni syndicae ilikuwa na mtu mmoja anayefanya communication na kutuma wasichana kwenda kwenye meetup ( kwahiyo ana act kama pimp)

Hii ni very likely kwani: a> mara nyingi wanawake ufanya biashara za ngono kwa kusimamiwa na wanaume
b> mtu anayeweza kufungua account za badoo na tinder kujua kiingereza
 
Ni kweli kabisa mkuu, uko right... Mambo uliyoyasema ni mapungufu ya utafiti wetu lakini hayaondoi validity ya findings kwa 100%. Ukiangalia kwenye post yangu nimeeleza pia mapungufu (limitation) ya huu utafiti. Japo tulijaribu kuminimize kwa kuwa na a defined criteria ambayo binti husika lazima a meet ikiwa ni pamoja na kukubali kutoa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi.

Pia, ukisoma tumeeleza kuwa kuna asilimia ya kutosha kati ya wale waliofikia criteria ya kujiuza ambao walikubali hadi kufika eneo la makutano kwa gharama zao wenyewe kwa ahadi ya kurudishiwa gharama ya nauli (kama ni mwanaume anaejifanyisha kwa kufungua profile yenye character za like, asingekubali hii). Hivyo mkuu, tunatambua limitations za huu utafiti na tulichukua hatua kadhaa kuminimize hill kama nilivyoelezea.
 
Kuna kampuni moja ya research ilitufanyia semina kuhusu tafiti inazofanya yaani ilinibadilisha mtizamo wangu kwa kiasi kikubwa sana na imenisaidia mno...
Twaweza walifanya hizo research za kuhusu uelewa wa watoto wa shule za msingi na watoto wa darasa la 5-7 kwa kuwapima kusoma na hesabu za darasa la 1.

Nakumbuka mwaka 2014 moja nilishiriki kwenye data collection, baada ya majibu kutoka watoto wengi walionekana wanafika darasa la 5-7 na hawajui kusoma kitabu hata cha darasa la 1 na hesabu. Kipindi kile huu utafiti ulileta mzozo na ikaonekana Twaweza wanatafiti za kupika.

Kuna mikoa kusini hali ilikuwa tete kiuhalisia unakutana na mtoto kamaliza la 7 kusoma ni mtihani kwelikweli na alifaulu secondary.
 
Telegram naona ndio kuna hatari matangazo ya wazi kabisa na picha zao wakiwa uch*
 
Twaweza walifanya hizo research za kuhusu uelewa wa watoto wa shule za msingi na watoto wa darasa la 5-7 kwa kuwapima kusoma na hesabu za darasa la 1.

Nakumbuka mwaka 2014 moja nilishiriki kwenye data collection, baada ya majibu kutoka watoto wengi walionekana wanafika darasa la 5-7 na hawajui kusoma kitabu hata cha darasa la 1 na hesabu. Kipindi kile huu utafiti ulileta mzozo na ikaonekana Twaweza wanatafiti za kupika.

Kuna mikoa kusini hali ilikuwa tete kiuhalisia unakutana na mtoto kamaliza la 7 kusoma ni mtihani kwelikweli na alifaulu secondary.
Duuuhhh!! Balaa na nusu
 
Kati hao mliomba miaadi ya kukutana, uliweza kukutana nao? Je baada ya kutana ilikuaje?
 
Pia siku hizi kuna wanawake wanajiuza Kwa wafanyakazi wa melini na wanatega maeneo ya Coco Beach na fukwe za Kigamboni. Hapa kuna madalali ambao huwa na kundi kubwa au group la wanawake kisha yeye anawaunganisha na mteja.

Kuna Uzi niliweka humu JF na evidence ya audio ambayo ilikuwa ni mahojiano ya wahusika wa beach na Radio One stereo.

Posta mitaa ya Kisutu kuna Bibi wa kiarabu yeye ana mabinti wazuri ambao wanamfata kutokana na yeye kuwa na connection na watu wanene na maarufu kisha mteja akija anachagua anayemtaka. Hapo mpaka mabinti wa vyuo wapo, wake za watu na wanawake wengine hapo mteja anaenda na kuambiwa kuna Mali gani mpya au anapiga Simu Kwa Bibi. Maana Bibi Hana mambo ya smart phone unachagua kisha yeye anakula kamisheni kutoka Kwa mteja nyie mtamalizana mbele.
 
Twaweza walifanya hizo research za kuhusu uelewa wa watoto wa shule za msingi na watoto wa darasa la 5-7 kwa kuwapima kusoma na hesabu za darasa la 1.

Nakumbuka mwaka 2014 moja nilishiriki kwenye data collection, baada ya majibu kutoka watoto wengi walionekana wanafika darasa la 5-7 na hawajui kusoma kitabu hata cha darasa la 1 na hesabu. Kipindi kile huu utafiti ulileta mzozo na ikaonekana Twaweza wanatafiti za kupika.

Kuna mikoa kusini hali ilikuwa tete kiuhalisia unakutana na mtoto kamaliza la 7 kusoma ni mtihani kwelikweli na alifaulu secondary.

Kwa shule za serikali nakubaliana na wewe ufundishaji ni hafifu.

Nilikuwa nasemea hizi shule binafsi senti burger 😋.
Huku senti burger watoto wanajua kusoma na kuandika ila uelewa wa mambo... wanakaririshwa sana na kufundishwa majibu zaidi ya kuwekeza kwenye ufahamu wao. Hapo ndo nilitamani utafiti ufanyike.
 
Haina shida mkuu, just check me.
Pia biashara ya ngono watu wengi wana focus ni katika jiji la Dar es Salaam Tu.

Mfano katika mkoa wa Mwanza katika visiwa vya ziwa Victoria kuna visiwa wanawake huenda msimu wa uvuvi visiwani Kwa ajili ya kujiuza na huchukua vyumba katika gesti ambapo watahudumia wateja wao. Wavuvi na wafanyabiashara hukutana kutoka sehemu mbalimbali na ngono hufanyika Kwa kiasi kikubwa Sana, kuna makundi huwa hatarini zaidi kama wanafunzi au mabinti wadogo ambao hurubuniwa au huingia tamaa ya pesa kutoka Kwa wavuvi au wageni.

Visiwani kesi za mimba Kwa watoto zipo nyingi na hatari kubwa ni watu wengi hawapo tayari kuhusu matumizi ya Kondomu. Kuna muda hata hizo Kondomu hazipatikani au kuuzwa bei juu lakini ngono haisimami na muingiliano wa wenyeji Kwa wageni bado mkubwa.

Tafiti za biashara za ngono kwenye visiwa au kambi za uvuvi na Bandari ndogo hazifanyiki zaidi kule siku hizi kampeni za Maralia ndio kubwa.
 
Back
Top Bottom