Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Hilo haliwezekani maana telegram app nzuri San watu wanauzia movie sabab ina support video ukubwa wwte , security ya kutosha, unaweza share documents yyte ,data zako haziwezi vuja ppote,Kiukweli kule telegram mie naona wakifanya Kama Twitter ilivyofanywa mie naona Ni sawa au telegram wenyewe wachukue majukumu Kama alivyofanya Google au YouTube yan kuondoa content zote zinazuhusu utupu na ngono vinginevyo mpaka December ijayo hata simu za kitochi Yan simu ndogo kabisa itakuwa inatumia 4G internet Sasa hapo kwa watoto wetu nahuko mashuleni na mitaani hakuna atakaepona.
Telegram nimeijua wiki mbili zilizopita Ila nimeikimbia Leo siku ya tatu hata sitaki kuijua tena
Hawo Malaya ni sehemu ndogo sana ndani ya telegram na hata what's app Wana magroup mbona,
Na kweny magroup na channel za Malay haulazimishwi ww ndo una join au una follow channel na wanazojiuzia
Asa ifungwe kwa lipi Tena, we Cha kufanya tafta na ufollow channel nzuri Kam za betting ,movie ,story, nk