Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

Mzayuni anatembezewa moto na Hamas haijawahi kutokea. Qasam brigade walivyo watwanga Golan brigade mpaka Nyau akaamua kuwaondoa Gaza wasije wakamalizwa sababu ndio kikosi kinacho aminiwa cha mzayuni.
Hamas imezungukwa pande zote, haipati msaada kutoka nje kama wazayuni wanavyo pokea misaada usiku na mchana kutoka nchi zote za magharibi lakini Qasam brigade inatoa kipigo kitakatifu iliobaki kwa mzayuni ni kupiga makazi na kuuwa raia tu.

Hii vita itakua ni "Case Study" kwenye vyuo vingi vya kijeshi duniani kufundisha mbinu za Qasam brigade katika vita hii.

Wanadai Hamas wamechukua mateka, wanasau wazayuni pia wamechukua mateka wengi raia na kuwafunga bila kuwapeleka mahakamani. Mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.
Mpaka leo mwezi wa nne mzayuni hajaonesha hata askari mmoja wa Hamas wamemteka au kumuuwa na mateka wao ndio hawajawapata hata harufu.

Na kipigo kiendee kutolewa mpaka mazayuni na washirika wake akili iwakae sawa.

Mtumwa siku zote yuko upande wa dhalimu
 
Kwanza ile stori ya kukomboa mateka ni uongo na haipo😅😅😅utoke Israel mpaka unganda kukomboa kwa intelijensia wakata hapo jirani miezi mitatu na zaidi hujui walipo umeshindwa kukomboa...Umebaki kubahatisha .

Story nyingi ni za uongo wala hamna mnachojua zaidia ya propagandist rumours..
 
Tatizo langu la Mental Case linazidi hili lako la hapa chini kwa kujua fika kuwa hujui Kiingereza halafu unajitutumua Kukiandika halafu Unakikisea na Kukichapia?
View attachment 2895756
View attachment 2895757
Nasubiri majibu tafadhali.
Genta tafadhali bana. Hii kutuvunja mbavu ahsubuhi hivi ni hatari kwa umma 😀 😀 😀 😀

Si angeandika kwa kiswahili tu kama sisi maamuma wengine
 
Aisee nimefuatilia ule mtiti nikaishia kusema, sisi tuna safari ndefu sana kufikia matumizi ya akili zetu za kuvukia barabara.
Makomando wetu wapo bize kupigapiga raia mitaani na kusaka sare zao huku wakiwashusha madereva wa daladala wakiwa kwenye mwendo mkoli..

Tuna jeshi ambalo nidhamu yake ni kwa makamanda wao na si kwa nchi yaani raia
 
Mpaka sasa Askari Wawili wa ZUZU NATION wamejeruhiwa na M23 jiandaeni kuwapokea pale Airwing Kiwalani muda wowote kuanzia sasa na mkawatibu pale Hospitalini Kwao jirani na Kawe.
Acha kuchafua jeshi linalolinda, kupata majeruhi kwenye uwanja wa vita ni kawaida
 
Acha kuchafua jeshi linalolinda, kupata majeruhi kwenye uwanja wa vita ni kawaida
Nidhamu ni msingi. Jeshi letu yes linalinda lakini halina nidhamu kwa wanaolilipa mishahara yao yaani raia...

Sisi siyo mazuzu bana
 
Mazayuni wanaandamana huko hawamtaki Netanyahu we kalia ushabiki tu,,, Hamas wapigania uhuru wanazidi kutembeza dozi wakati zayuni anapiga wagonjwa hospital
Mpaka sasa wapalestina zaidi ya elfu 30 wameshawaishwa kwenda kupokea zile bikira swafi za kiarabu 72 sheikh wangu.
 
Mental case anakwambia askari wa kike walizungumza kipalestina ili kuwahadaa walinzi, unajiuliza hivi kuna lugha ya kipalestina kweli, hajui kule zinaongelewa kugha za kiarabu na kiyahudi. Kweli ushamba mzigo.
 
Hilo tukio ni la kigaidi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hili tukio lina maajabu gani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
wameficha Silaha zao kwa ajili ya Oparesheni hiyo iliyofana / iliyofanikiwa 100%
Na hii vipi???

2 troops seriously hurt in failed Gaza hostage rescue​


Two Israel Defense Forces soldiers were seriously wounded in a failed attempt to rescue hostages held by the Hamas terror group in the Gaza Strip overnight, the army said Friday, adding that several of the hostage takers were killed.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…