enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Najua unapata taarifa nyeti, fuatilia msafara wa balozi wa Tanzania wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda nini makomandoo wa JWTZ walikifanya! Halafu ulizia walikuwa wangapi dhidi ya wangapi!je, Makomandoo wa ZUZU NATION nao wanaweza kutumia Akili Kubwa kama hii iliyotumika na Wenzao wa Israeli?