Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

je, Makomandoo wa ZUZU NATION nao wanaweza kutumia Akili Kubwa kama hii iliyotumika na Wenzao wa Israeli?
Najua unapata taarifa nyeti, fuatilia msafara wa balozi wa Tanzania wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda nini makomandoo wa JWTZ walikifanya! Halafu ulizia walikuwa wangapi dhidi ya wangapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…