Pole sana naona unateseka sana na habari za Mwamba MboweHaupo serious mkuu unajua watu mil 1 wapoje mkuu? Yaani uchukue watu wa Arusha mjini wote na uzidishe Mara mbili maana Arusha mjini wanakadiriwa kuwa Laki 5.9.
Ushabiki uendane na matumizi sahihi ya akili
Kama mpaka raisi anamtambua na bado kamuacha huru tambua tu umebaki peke yakoOsama kwenye ubora wake
Pole yako mwenyewe unae Leta taarifa ya watu milioni na kuweka ushahidi wa watu 200.Pole sana naona unateseka sana na habari za Mwamba Mbowe
Pole sana naona unateseka sana na habari za Mwamba MboweHaupo serious mkuu unajua watu mil 1 wapoje mkuu? Yaani uchukue watu wa Arusha mjini wote na uzidishe Mara mbili maana Arusha mjini wanakadiriwa kuwa Laki 5.9.
Ushabiki uendane na matumizi sahihi ya akili
Hana anachojua zaidi ya tu-hadithi twa uongo na kweli anatoanzishaga humu JF!Yupoyupo tu kama matoke yaliyopooza.Kama mpaka raisi anamtambua na bado kamuacha huru tambua tu umebaki peke yako
Jana mama mkuu wa nchi kaiambia bbc ashachora mstari mwenkundu.... Washamalizana...we emdelelea... Ikowezekana rudisha mahakamani
Acha shobo mtoto wa kiume. Tutakufata hapo morogoro, tutakupakata tutatue hizo rinda
NdioWatu 1mil ndio hawa hapa.
Kama walijipangaakuanzia KIA Hadi Boma unateg3mea mini Bwana Utopolo wa KijaniHaupo serious mkuu unajua watu mil 1 wapoje mkuu? Yaani uchukue watu wa Arusha mjini wote na uzidishe Mara mbili maana Arusha mjini wanakadiriwa kuwa Laki 5.9.
Ushabiki uendane na matumizi sahihi ya akili
Hiyo Ni kama naomba Leta uhalisia na sio ngonjera, bwana mdogo watu milioni sio kitoto.Kama walijipangaakuanzia KIA Hadi Boma unateg3mea mini Bwana Utopolo wa Kijani
Mama safiii!Heshima kwako mama Mbowe.❤️❤️❤️❤️
Pole sana manka!Ila katika viumbe punguani ni weye na kiji-kundi cha wenzio wajingawajinga fulani hivi pro-CCM.Nikiuliza wanaJF humu waorodheshe wawashwa viuno wa marehemu huwezi kukosekana.Ni ng'ombe usiye na mkia wa mbele wala nyuma.
Zipo tatuKatiba mpya ndio mpango mzima.
Maimuna una vituko sana tangu msitishiwe posho Lumumba.Mungu akurehemu.Inshaallah!Pole sana manka!
Ukiwa na stress usiwe unaingia huku jf,
Marehemu hamuwezi kuacha kumtaja maana alikuwa anawabutua vizuri sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Uliwahesabiaje??Katiba mpya ndio mpango mzima.
Mwamba lazima awavushe.View attachment 2156921View attachment 2156949
Mkoa mzima wa kilimanjaro wote watu wake ni milioni moja na laki kadhaa
Mleta mada mmmmmmmm
Takwimu za mwaka gani??Mkoa mzima wa kilimanjaro wote watu wake ni milioni moja na laki kadhaa
Mleta mada mmmmmmmm