Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.