Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana.

Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka.

 
Hawajasombwa na maroli kweli hawa?
johnthebaptist ebu njoo uweke kumbukumbu sawa huku
 
Inapendeza.
 
Wapewe maua yao..🌹 💐 🏵 🥀 🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…