Matukio mawili yaliyoniacha na tafakuri kubwa

Umee
Umesoma ukaelewa hoja ya mleta mada? Au unahemuka tu.

REA,MWENDOKASI Ni kodi yako na yangu ndugu siyo hisani ya kiongozi. Kiongozi ana wajibu wa kuwaletea wananchi MAENDELEO ndiyo maana tunalipa kodi.Walitekeleza wajibu wa kiuongozi.

Wewe Ni MPUMBAVU.Sina shaka kabisa.
 
Wee MPUMBAVU SIKILIZA,Hizo hela ni kodi zetu.Zingeweza kujenga madarasa kadhaa au kununua madawati na watoto wetu wakasoma ktk mazingira bora.Pumbavu sana.
Chokochoko zenu msingi wenu ni roho za wivu.

Hata asingepewa Mwinyi still usingezifaidi kwa namna yoyote.
 
Pumba tupu.
 
Nashangaa wanazidi kujilimbikizia mali huku wananchi wakifunga mikanda kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu. Tatizo la nchi hii ni ccm na viongozi wake wabinafsi na walevi wa madaraka
 
Chokochoko zenu msingi wenu ni roho za wivu.

Hata asingepewa Mwinyi still usingezifaidi kwa namna yoyote.
Wewe mpumbavu narudia tena, Wananchi kuhoji kodi zetu zinavyotumika ndivyo sivyo na watawala ni haki yetu na sio wivu.
Hata nchi zilizoendelea kama Marekani huwezi kuchezea kodi za wananchi hovyo kwa kugawana vijizawadi halafu watu wakakaa kimya. Ni haki yetu kuhoji kama ilivyo haki ya serikali kukusanya kodi
 
Kabisa Mkuu, Kikwete miaka 10 madarakani mshahara wa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka tena tax free lakini bado mlafi tu!!!
Nashangaa wanazidi kujilimbikizia mali huku wananchi wakifunga mikanda kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu. Tatizo la nchi hii ni ccm na viongozi wake wabinafsi na walevi wa madaraka
 
Kabisa Mkuu, Kikwete miaka 10 madarakani mshahara wa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka tena tax free lakini bado mlafi tu!!!
Hawa watu ni walafi na wabinafsi sana. Halafu kutwa kucha kuwahimiza wananchi kuwa wazalendo huku kundi la watu wachache wakifaidi keki ya Taifa. Kwa mwendo huu hata huo Uzalendo wa kulipa kodi unaanzia wapi?!
 
Zilikuwepo na hazikujenge, pili ujenzi wa miundombinu ya elimu ni endelevu haitaisha leo wewe Kyma.
Mwacheni Mwinyi afaidi
Ndiyo maana nchi hii haitasonga mbele kimaendeleo km fikra zenyewe ndiyo hizi.
 
Wao kufanya kazi kwa kulipwa mshahara hakiwi kigezo cha kutoenziwa baada ya kustaafu. Ikiwa mfanyakazi bora wa mwezi anapewa zawadi anayostahili tofauti kabisa na mshahara wake, sembuse rais ambaye ni nembo ya Taifa!!.

Kuna nchi afrika hii hii huwa zinatushangaa tunaweza vipi kuwa na marais wanaoachiana ofisi kwa amani na utulivu, wanatuona kama vile ni wachawi .

Kuna kazi kubwa wanayoifanya viongozi wa juu wa nchi ambayo sisi huku chini huwa hatuioni lakini ni kubwa na ni nzito.
Huyo huyo mwenye kufanya kazi kwa kodi yangu anayo haki ya kupewa nyumba kama matunda ya mafanikio yaliyotokana na kuitumia vizuri hiyo hiyo kodi yangu.

Mfano JPM angekuwa hai mpaka akastaafu halafu akaja kujengewa nyumba na kukabidhiwa bado tungelalamika!?.

Kajenga SGR yenye umuhimu mkubwa kiuchumi, nyumba moja ni kitu gani kulinganisha na namna alivyojituma kukuza hali ya nchi yake?.

Tuache nongwa zitaishia kutuumiza tu miili yetu.
 
Yaani ni kama vile wananyang'anya kile kidogo ambacho kingewasaidia wanyonge fukara na maskini wa Taifa hili.
Kumbe wanyonge wapo nchi hii? Mi nilidhani hawapo labda ilikuwa ni maneno ya Mwendazake tu ili kuwahadaa watu!
Kila siku mnalikataa neno wanyonge na kumtukana Mwendazake kwa kuwaita hivyo walala hoi; kumbe hata nyie mnajua kuwa wanyonge wapo? Au labda wanyonge wenu ni tofauti na wanyonge wa Mwendazake? Ama kweli ukishangaa ya musa utayaona ya falao!
 
Aliye nacho huongezewa hii ni kanuni ya kiasili ya maisha hivyo hakuna haja ya kulalama huku maisha yakikupita mbio. Viongozi wanaitendea haki asili. Wananchi wawe wapole tu. Its a game of fierce fight. Survival of the fittest.
You are right brother. Survival of the fittest and/ by elimination of the weakest.
 
Watz wengi mko vichwa maji hamjui km taifa mnamtaka nini.Yote uliyoandika ni mihemko,hisia zako.

Hatukuchagua kiongozi ili akafuje Kodi zetu. WAJIBU usiohitaji shukrani ,alikuwa analipwa mshahara mnono, allowance nyingi,bado walizotuibia.

Hazina ya taifa si ya kupeana zawadi ,acha upumbavu.
Analipwa mshahara bado,anatunzwa kwa Kodi zetu hadi afariki .

Hii ndiyo mitanzania isiyo na vipaumbele,isiyo na malengo,taifa lisilo na misingi ya kuamua na kutenda.Mtu anachota kodi zetu kutoa zawadi halafu vichwa mavi wanaona ni vipaumbele vya taifa.Ni sawa tu.

Kweli bongo bahati mbaya.
 
Punguza mapovu mkuu, humu ni Mwendo wa hoja. Matusi hayafundishwi shuleni kila mtu anayajua.

Huyo unayesema anachota kodi zako ni sehemu ya waliozitafuta pesa zinazoendesha uchumi na anao uchungu wa maendeleo pengine kuliko wewe na mimi.

Hizo zawadi hazilingani na commitments za hao wastaafu katika kuihangaikia Tanzania.

Tuache kujadili mambo madogo sana haya.
 
wivu tu
 
Hayo yote waliyafanya kwa pesa zao wenyewe au ni kodi za Watanzania?

Hivi mtu anahitaji kusifiwa na kupewa zawadi kwa kutimiza wajibu wake?
 
We Lazima utakuwa na undugu na Mwinyi
 
Ila kuna tetesi hii Benz ni moja wapo kati ya Benz 20 ziliotolewa kama zawadi na Mfalme na Sio mwingine niyule aliojenga msikiti .mkubwa dar ,kwa hiyo hoja ya Benz ipe mtazamo huo, vinginevyo tuuza zawadi
 
Mkuu wengine kinacho wauma ni roho mbaya zao tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…