This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Umee
REA,MWENDOKASI Ni kodi yako na yangu ndugu siyo hisani ya kiongozi. Kiongozi ana wajibu wa kuwaletea wananchi MAENDELEO ndiyo maana tunalipa kodi.Walitekeleza wajibu wa kiuongozi.
Wewe Ni MPUMBAVU.Sina shaka kabisa.
Umesoma ukaelewa hoja ya mleta mada? Au unahemuka tu.Gari sio lolote kulinganisha na mchango wa Mzee Mwinyi aliyekuwa ameachiwa nchi na Hayati Nyerere ikiwa hoi kiuchumi.
Wenzangu na mimi tuliokuwa tunaelewa nini kinaendelea duniani miaka ile ya 1980 mwanzoni tutakumbuka kula ugali wa Yanga na yale maduka ya kaya, kila nyumba inakuwa na daftari la bidhaa za kununuliwa hapo dukani. Mwinyi alifanya mengi mpaka hali ikaanza kuwa njema.
Zawadi ya Nyumba ya Mzee Kikwete sio lolote kulinganisha na miradi aliyoianzisha na yenye kuendelea kuleta mabadiliko ya kijamii.
Hiyo nyumba haina thamani kulinganisha na wagonjwa wa moyo wanaotibiwa na kupona pale MOI.
Hiyo nyumba haina thamani kulinganisha na wasafiri wote wanaotumia mwendo kasi asubuhi mchana na jioni.
Hiyo nyumba haina thamani kulinganisha na namna umeme wa REA unavyoibadilisha kabisa Tanzania kiuchumi.
Umaskini wa kichwani ni mbaya sana, kwani siku zote mtu analalamika mpaka anasahau kuwa kwa kufanya hivyo anamkufuru Mungu aliyemjalia vipaji vingi.
REA,MWENDOKASI Ni kodi yako na yangu ndugu siyo hisani ya kiongozi. Kiongozi ana wajibu wa kuwaletea wananchi MAENDELEO ndiyo maana tunalipa kodi.Walitekeleza wajibu wa kiuongozi.
Wewe Ni MPUMBAVU.Sina shaka kabisa.