Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Na badoooo ht wakichakachus mpk kesho. JK Mungu atamlaani

Huyo baba namchukia sana sana-amegeuza kwamba hii nchi ni ya kwake binafsi so atafanya atakalo-Anyway Mungu yupo.
 

watu kama hao sijui wanafikiria kwa kutumia nini.Haoni Joshua nassari amepitwa kwa kura za ushindi na lowassa?anadhani nini kilifanyika?
 
kawe
kibamba
ubungo

hembu tupe uhakika mkuu.maana kwa kawe kuna sintofaham kubwa sana mpaka Jana SAA 8 watu tulikuwa tunasubilia watoke huko ostybey lakini hora inamaana matokeo ndio yashatoka

Watu wa kawe wasingeweza mpa yule dogo wa Warioba
 

Mliwekeza sana katika mafuriko mkasahau kumwaga sera.
 
Haya matokeo sio. Mfano kyerwa imeenda ccm. Kawe bado . Tusidanganyike
 
Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kimejipanga katika kutoa taarifa. Tumeona J. Makamba akitaja majimbo yaliyovunwa na chama hicho.

Lakini kwa UKAWA mambo ni tofauti na ni wazi Afisa habari wa CHADEMA, Tumaini Makene, umeshindwa kazi, Makene ameshindwa hii kazi? (iwapo Makene ni wa chama sio wa UKAWA lakini kwa ukubwa wa CHADEMA ndani umoja huu, ni vema Makene akatoa idadi ya majimbo na maendeleo ya majimbo mengine ili wafuasi wao wawe updated).

Kwa sasa wafuasi wa UKAWA hawana cha kujibu kwa vile hawana taarifa za jumla iwapo vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti, lakini sio kwa utaratibu wa kufanya watu wapate summation.
 

Acha vitisho weweee. . . . .wakala wake ndio kakuambia hivyo??!
Weka tally sheet ya hizo kura nyingi. . .

Kama kashindwa kashindwa tu na kama kadhulumiwa weka tally sheet basi
 

Ukerewe_Chadema
 
kweli kabisa sijui wanapokea taarifa matokeo ya uchaguzi UKAWA nn kinawasibu yaani ss hatujui kinachoendelea kama ni kweli au ni uongo maana tunajua hatuwezi kuiamini tume hii ambayo si huru.
 
Unajua mbowe alijiona mjanja sana kumuuzia lowassa Chama.ona sasa kilichotokea. Lowassa anarudi Kuchunga ng'ombe monduli.huku chadema ikiendelea kupoteza baadhi ya majimbo.
 
Wakuu naomba kuweka idadi ya majimbo yaliyoenda ukawa mpaka


1.Jimbo la Tarime mjini-Ester Matiko (CDM)

2.Jimbo la Tarime vijijini-John Heche

3.Jimbo la Arumeru Mash.-Joshua Nassari

4.Jimbo la Tunduma-Frank

5.Jimbo la Babati mjini-Pauline Gekuli

6.Jimbo la Minduli-Julius Kalanga

7.Jimbo la Serengeti-Mwalimu Ryoba

8.Jimbo la Tandahimba
- Katani Ahmed Katani wa CUF

9.Jimbo la Ndanda
- Cecil Mwambe(CDM)


10.Jimbo la Mbeya mjini-Joseph Mbilinyi

11.Jimbo la Hai-Freeman Mbowe

12.Jimbo la Moshi mjini-Jaffer
Michael

13.Jimbo la Moshi vijijini-Antony Komu

14.Jimbo la Siha
- Mollel Godwin wa Chadema

15.Jimbo la Same Mash.
- Naghenjwa Livingstone Kaboyoka(CDM)

16.Jimbo la Buyungu
- Bilago Kasuku Samson(CDM)


17.Jimbo la Tanga mjini

18.Jimbo la Momba-Ernest Silinde

19.Jimbo la Vunjo-James Mbatia

20.Jimbo Bukoba mjini-Wilfred Lwakatare

21.Jimbo la Mtwara Mjini
- Maftah Nachuma(CUF)


22.Jimbo la Mchinga
- Hassan Bobali wa CUF,



23.Jimbo la Singida Mashariki-Tundu Lissu

24.Jimbo la Rombo - Joseph Selasini (CHADEMA)

25.Jimbo la Kilombero - Lijualikali (CHADEMA)

26.Jimbo la Mlimba - Suzan Kiwanga (CHADEMA)

27.Jimbo la Ukonga- Waitara Mwita wa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…