Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Ifakara CDM
wameishatangaza usiku jana!
Ni jambo la kumshukuru Mungu kama ni kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifakara CDM
wameishatangaza usiku jana!
Mkuu hiyo Kyera ni ya Mwakyembe yule msomi aliyejivua nguo kwenye Richmond?
Na badoooo ht wakichakachus mpk kesho. JK Mungu atamlaani
Hiyo ni akili mbovu au uvivu wa kufikiri.
Huwezi kusema unachagua Mbunge wa UKAWA halafu Rais akawa wa CCM!!!Hii ni sera gani kama siyo ujinga??
Tunachagua SERA(POLICY) za chama na siyo mtu. Pengine hawa mnaotumabia mnachagua Mbunge wa UKAWA na Rais wa CCM mtumabie hilo Bunge litaendeshwa vipi na Serikali itakayo ongoza itakuwa ya MAGUFULI au CHADEMA/CUF under UKAWA???
Ndiyo maana sishangai kuona kuwa bado Mitanzania mingi imeipigia CCM kwa kuwa na uelewa mdogo sana wa kuchanganua mambo kwa undani na upana wake. This is absolutely nonsense.
kawe
kibamba
ubungo
hembu tupe uhakika mkuu.maana kwa kawe kuna sintofaham kubwa sana mpaka Jana SAA 8 watu tulikuwa tunasubilia watoke huko ostybey lakini hora inamaana matokeo ndio yashatoka
Zungu tena daah
We hujui kilichotokea jimbo la Lembeli! Unaweza kuamini kwamba jimbo la Kahama Lembeli alikuwa na asilimia 80 za kushinda kutokana na kukubalika kwa wananchi ukilinganisha na mpinzani wake wa CCM!
Lakini mbinu iliyotumika ni zaidi ya "bao la mkono" Huwezi amini Chadema haikuchukua hata kata moja pamoja na kupigiwa kura nyingi na wafuasi wake!
Kuna mengi yaliyo nyuma ya pazia kuhusu kilichotokea ila kwa leo ngoja niishie hapa nisije kuwa kama Dr. Ulimboka"
Maswali ya kisengerema kama haya na asubuhi hii....
Basi tu.
Anyways.... Kamuulize mkeo.
We hujui kilichotokea jimbo la Lembeli! Unaweza kuamini kwamba jimbo la Kahama Lembeli alikuwa na asilimia 80 za kushinda kutokana na kukubalika kwa wananchi ukilinganisha na mpinzani wake wa CCM!
Lakini mbinu iliyotumika ni zaidi ya "bao la mkono" Huwezi amini Chadema haikuchukua hata kata moja pamoja na kupigiwa kura nyingi na wafuasi wake!
Kuna mengi yaliyo nyuma ya pazia kuhusu kilichotokea ila kwa leo ngoja niishie hapa nisije kuwa kama Dr. Ulimboka"
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serentei- CDM
22. Bukoba Mijini-CDM
23. Ukonga- CDM
24.Buyungu- CDM
25. Singida Mashariki-CDM
26. Babati- CDM
27. Momba - CDM
28. Tunduma -CDM
29. Tandahimba - CUF
30. Mlimba -CDM
31. Kilombero - CDM
32.Ifakara -CDM
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
Ongeza kwenye List
Jimbo na Chama chake kilichoshinda