Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Nakumbuka nililewa(nilikunywa safari 9 na bombadia mzima) na dada mmoja jirani tena alikuwa mgeni ghafla tukazoeana,ile nmeenda chooni na yeye huyu hapa!! Akaingia na yy chooni kavua suruali mara kainama anataka nimle,he!! Mzigo ukagoma kusimama! Nyonya na wewe wap!? Nilihisi kuaibika sana japo nlikuja kumla geto kwake wiki 3 baadae baada ya kumlazimisha sana japo alikuwa hataki tena ili kulinda heshima,sintokaa nisahau aibu ile!!
hahahhahahahahahaWala huhitaji kujisumbua kurekodi maana vituko vyangu utaviona mubashara hapa, nitakunywa nilewe halafu nianze kukomenti humu kwa kutumia akili za pombe
Mimi nimezoea single 2500 ya camino au zapa
Hivi hizo bombadia zikoje? Nitumie picha yake niione ili niitathmini kama naiweza au la! [emoji39]Tangu ile siku nilipo kata bimbadia nzima pekeyangu, na nikajikuta nasahau mlango wa kuingilia chumbani kisha nikaelekea maliwato kulala...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni zile zenye ukitaka kumeza, lazima usikitike kwanza..... tehteehhhHivi hizo bombadia zikoje? Nitumie picha yake niione ili niitathmini kama naiweza au la! [emoji39]
Wee acha nkimwona yupo na wenzake nilikuwa nabadilisha njia au narudi nlipotoka coz nahisi atanisema ila kumbe ni bonge la mshkaji hadi leo,alikuja kuniambia nilipata shock coz skutarajia kupata mteremko kiasi kile, na aliniambia sababu ya kufanya vile alipata stori zangu kuwa mm ni malaya ila yy ananiona mpole sana hivyo akataka kuthibitisha labda watu wananionea. Dom nliiona chunguHahahaha duuu ! Hukupata msongo wa mawazo mkuu ndani ya hizo week 3?
Wee acha nkimwona yupo na wenzake nilikuwa nabadilisha njia au narudi nlipotoka coz nahisi atanisema ila kumbe ni bonge la mshkaji hadi leo,alikuja kuniambia nilipata shock coz skutarajia kupata mteremko kiasi kile, na aliniambia sababu ya kufanya vile alipata stori zangu kuwa mm ni malaya ila yy ananiona mpole sana hivyo akataka kuthibitisha labda watu wananionea. Dom nliiona chungu
HahahahahaaaaaWewe je?nasubir tukutane nifurahi unavyolewa
Chamdeko ujue nakuona ulipo, tayari ushalewa hahaaaaMiss u
Balimi inafanya vizr mno kichwaniIla navuta picha huyo mwanaume atakayeoa mnywa balimi sijui ndoa itakuaje yaani.
Balimi inaweza kukufanya uonekane fundi kwenye 6×6 kumbe ukiwa mkavu huna loloteHahahahha
Lakini salamaHatari