Ukute anacheza halafu anau-position mdomo kama anakutishia vile.hahhaahahha aiseee !ila kucheza hakukwepeki aisee
For sure umenisisimua cha mdeko,sio poa wala nini.Anaelewa somo kaka akooo nikilewaaa hahahahha najiachia chanuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]looohUkute anacheza halafu anau-position mdomo kama anakutishia vile.
Mwingine unakuta anaruka ruka kana kwamba anacheza rege ili hali wimbo si wa jamii hiyo
Ameandika tiali badala tayari so nikashangaa huo uandishi kwa mtu makini kama yeye au kujichanua kwako chanuuuuu kumempelekea kupata tatizo la uandishi teh tehKwanini?
Umenifanya nifadhaike maana hiyo niliyoipata,ukijumlisha na chura aliyesemwa na mdau wa jana basi dah.....Kwanini siyo poah jaman loooh
ha ha ntajaribu vitu vyote ila sio pombe.....kodoa kwa makini bila hivyo utapigwa chenga
hhhhaaaaaa mie huwa naenda na beatsUkute anacheza halafu anau-position mdomo kama anakutishia vile.
Mwingine unakuta anaruka ruka kana kwamba anacheza rege ili hali wimbo si wa jamii hiyo
umeonaeeee, uko vzr na umechagua fungu jemaha ha ntajaribu vitu vyote ila sio pombe.....
Hongera,nakumbuka kuna siku moja maeneo flani bendi ya Hussein Jumbe ilikuwa inapiga,sasa nikasema ngoja nami nikacheze, mmama akanifuta bhana tukawa tunacheza wote,mara tukakumbatiana nami nikaanza kupapasa kama shanga zipo(maana nazipenda hatari),nikazikuta, mara yule mama akaniambia wewe kaka mimi nakupenda tuondoke wote bhana ukanitohombe,nikamwambia usijali hata mimi nakupenda.hhhhaaaaaa mie huwa naenda na beats
Uuse be! Tukate kiu. Kiu inaniua. Ndifwa neene!Nzusa mungu de!ke ng'hele ku mbeya..sendisaka kwika pa ipogolo ipo nye ..sendiwona wiiinyaa!
Acha mambo hayo mkuu. Tuna RB yako huku unasakwa kimbwa! HahahahaaaaHongera,nakumbuka kuna siku moja maeneo flani bendi ya Hussein Jumbe ilikuwa inapiga,sasa nikasema ngoja nami nikacheze, mmama akanifuta bhana tukawa tunacheza wote,mara tukakumbatiana nami nikaanza kupapasa kama shanga zipo(maana nazipenda hatari),nikazikuta, mara yule mama akaniambia wewe kaka mimi nakupenda tuondoke wote bhana ukanitohombe,nikamwambia usijali hata mimi nakupenda.
Ulipoisha wimbo kama aliniona shubaaaaamit.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm ht unibembeleze vp sitakunywa tena magic moment!ila una kichwa cha panzi !niliwah kunywa magic moment sikumbuk kbs nilifikaje hom!nakumbuka nilifikia room kulala !iko siku ntamuask dada wa kazi aisee ile kitu SIO!POLE SANA!