Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee malizia basi kilichoendelea ndani ya gari[emoji12]
Yani ulivyoacha ni sawa na mtu aliyejiandaa kupiga bonge la chafya ghala ikarudi nafikiri unayajua maumivu yake[emoji6]
 
hahahaha, ushuhuda wa pombe: Nje ya mada: Kuna kaka huwa tunalewa naye, eti siku hiyo alivyolewa akaanza kuongea kwa sauti kubwa "YAANI MIMI NIKINYWA POMBE, LAZIMA ASUBUHI YAKE NINYE, TENA NAKUNYA MAVI MENGIII, NAKUNYWA MARA TATU" hahahahah. Halafu ni kaka "hensamu" mtumishi wa NSSF. hahahahahah Pombe hiiiiziiiiiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee malizia basi kilichoendelea ndani ya gari[emoji12]
Yani ulivyoacha ni sawa na mtu aliyejiandaa kupiga bonge la chafya ghala ikarudi nafikiri unayajua maumivu yake[emoji6]
ha ha ha ha! ni mambo ya aibu sana mkuu, licha ya kupigwa dushe ndani ya gari, kufika home nilifunguliwa na mama, c nikaanza mlazmisha jamaa twende tukaendeleze game ndani huku mama kacmama mlangoni ananisubiri niingie ndani ili afunge mlango.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We kweli kiboko, nafikiri kwa hilo tukio ulokole wako utakua umefika level za juu kabisa[emoji2]
Au bado unaendeleza kupiga maji?[emoji12]
 
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
Hahahahhahaha umetishaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…