Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Nakumbuka nililewa(nilikunywa safari 9 na bombadia mzima) na dada mmoja jirani tena alikuwa mgeni ghafla tukazoeana,ile nmeenda chooni na yeye huyu hapa!! Akaingia na yy chooni kavua suruali mara kainama anataka nimle,he!! Mzigo ukagoma kusimama! Nyonya na wewe wap!? Nilihisi kuaibika sana japo nlikuja kumla geto kwake wiki 3 baadae baada ya kumlazimisha sana japo alikuwa hataki tena ili kulinda heshima,sintokaa nisahau aibu ile!!
Poleeeeee sanaaa
 
Kipindi nafanya kazi Bukoba....kuna mshomile fulani alikuwa anajiona sana. Huyu jamaa akinywa beer tatu tu ataanza mabishano ya maumbile na kusema kuwa dushe lake linalingana na muhogo japo yeye ni mbilikimo na kulazimisha tuyatoe yetu tuyapime na lake. Tulizani ni utani, jamaa akalitoa dushe lake hadharani na kuliweka mezani huku akilichapa kwenye meza kama vile anachapa katerero. Watu tukamsihi alirudishe dushe lake chupini hakutusikia mpaka jamaa akamwaga shahawa pale mezani. Sikuamini macho yangu na ile beer sikunywa tena mpaka leo nimeacha (miaka 6 sasa).
Loooooh hapo kwenye kuchapa chapaaaa umeniacha hoiiii
 
Kuna mshikaji alikunywa sana pombe mpaka network ilikuwa inashindwa ku-load. Akaenda kujisaidia chooni huku akituacha mezani tukiendelea kunywa povu letu. Baada ya muda tukaona wahudumu na baadhi ya wanywaji wanakimbia, kidogo mshikaji akatokea yuko uchi kabisa hana hata nguo hata moja ila kabakia na viatu na soksi tu mwilini mwake. Jamaa akaelekea pembeni ya baa pale wanapouza nyama choma eti anatafuta mbuzi huku kashika dushe lake, tukajiuliza huyu mshikaji zile shutuma zake za kubaka mbuzi wake zikawa kweli au? Pombe ukiichezea itakuumbua tu, si chai ile.
Hahahahahahha loooh pombe na balaaa lakeeee
 
Pombe siyo chai wala juice...

Wenye vichwa vyepesi wanafanya vituko...

Wengine wakinywa pombe watacheza mpaka matangazo ya vifo...


Cc: mahondaw
Hahahahahahaha loooh

Mpaka matangazo ya vifoooo mapyaaaq
 
Back
Top Bottom