mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
yah zinatofautia rangi,ukubwa na idadi ya vitabu.Hapana achana na hizo za shetani.
Nazungumzia za wakristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yah zinatofautia rangi,ukubwa na idadi ya vitabu.Hapana achana na hizo za shetani.
Nazungumzia za wakristo
Mimi nazungumzia kwenye idadi ya vitabuyah zinatofautia rangi,ukubwa na idadi ya vitabu
kabisa,zipo mbali mbali ila isiyo na torat,zaburi,injili inakuwa haipo kundi lolote kati ya zilizopo.Mimi nazungumzia kwenye idadi ya vitabu
Nasikia kuna baadhi ya vitabu vinapatikana kwenye baadhi ya biblia tuUtofauti upo kwenye tafsiri na aina ya karatasi au gamba la nje na size. Ila hiyo "wicked" walikosea wakati wa kuchapa au walifanya makusudi
Kwa niniVitabu vya Apokrifa ndivyo vinavyopatikana kwenye baadhi ya Biblia. Hivyo havitambuliwi na wengi kuwa sehemu ya Maandiko matakatifu
Vimejulikanaje kuwa havina upakoHavina upako(kwa jibu rahisi)
Mtu wa rohoni ndo anakuwajeMtu wa rohoni anatambua
Kuokoka na niniWewe umeokoka au?
Naam nimeokokaKuokoka na hukumu ya moto wa milele
Roho mtakatifu ni niniUmejazwa Roho Mtakatifu?
Kwa hiyo unamaanisha nitachomwa moto wa milele au siyoKama humjui Roho Mtakatifu basi hata mtu wa rohoni ni vigumu kumtambua. Kwa maana hiyo inaelekea pia bado hujaokoka.