Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Ninachowapongeza watani ni swala la kuleta team yenye ushindani wa kweli, ZANACO ni team iliyojiandaa kwelikweli kushiriki mashindano ya kimataifa msimu huu.

Badala ya kuleta teams zilizoshindwa kufanya vitu vya maana kwenye ligi zao Ili mzifunge nyingi kama ilivyozoeleka kwenye hizi sherehe, nyinyi mliamua kuleta team yenye ushindani.


Ngoja tuone ni team gani sisi tutaileta, unaamini haitakuwa kutoka RWANDA, KENYA au BURUNDI nchi ambazo kwasasa hazifanyi vizuri sana kwenye ngazi ya clubs, ziletwe teams za ukanda wa kusini au kasikazini.

Ila Yanga mpunguze tambo zenu sasa,maana tofauti na DJUMA ,kipa na Makambo sijaona kikosi cha kutisha sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waache wanafikiria mpira ni propaganda au siasa ona sasa wametobolewa kwenye siku yao
 
bumbuli juzi alikua anasema kua kikos kimekua kikifanya preseason na timu pinzani zenye uwezo na kupata matokeo mazuri kama ushindi wa goli tatu bila ila hawakutaangaza tu kwasababu yanga imevuka level hizo

Sasa tunaweza ku imagine hizo timu alizocheza nazo huwenda zilikua aina ya ken gold
 
Ni kweli zanaco wako vizuri na walipata nafasi baada ya yanga kupunguza kasi.
 
Zanaco ni timu nzuri na wanacheza Klabu bingwa Afrika hawa coz wamemaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi yao na nchi yao huwa inapeleka timu nne kimataifa
 
Wameleta timu sahihi na iko kwenye mashindano kama yao na pia hiyo timu iko kambini toka agasti.

Nadhani sasa Yanga wamejua kwamba kumbe Simba walifanya Kazi hadi kuwabeba utopolo.

Nadhani ni wakati muafaka wa kutoka kucheza mpira whatsup,fb,insta nk na kuanza kucheza mpira uwanjani.Na kama walisajili majina badala ya wachezaji watakula hasara hadi wakae sawa.

By the way Yanga itaishia round ya kwanza timu yao bado Sana.
 
goli la kideo afu distance yake hapa na kisarawe
Your browser is not able to display this video.
 
Ahsante ndugu mchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…