Midfield ya Mauya ni ushenzi, Yanga sijui mnakwama wapi tu hivi Mauya anacheza nini?Hali ni mbaya sana na hapa katikati inabidi tutafute game nyingi za kirafiki na sio mazoezi tu
Yanga mmepwaya sana katikati, na beki pale nyuma ni Dickson Job na Djuma tu, hao wengine wote ni takataka.kile kikosi cha mwanzo ndio kilikuwa chenyewe.
Japo lengo la kocha lilikuwa kila mchezaji acheze ila pia kumtoa feisal na makambo imetugharimu pia djuma.
Hata hivyo zanaco imetuonyesha tunapotakiwa kuziba kabla ya Mechi na River Utd..
Jamaa beki zao zinacheza kwa akili mnoo na kila mpira wanaopiga wanapiga kwa sababu.
Hahahahaha!Moderator hakuna namna naweza kufuta huu uzi wangu
Naomba muongozo
Hivi kwanini mukoko atoke na mauya akabaki ikiwa alicheza vibaya sana.?toka mwanzo tumesema kapoteza mipira mingi.Midfield ya Mauya ni ushenzi, Yanga sijui mnakwama wapi tu hivi Mauya anacheza nini?
Anyways ngoja tuone.
Mkuu kibwana pia kajitahidi pia.Yanga mmepwaya sana katikati, na beki pale nyuma ni Dickson Job na Djuma tu, hao wengine wote ni takataka.
Sijui tu, nadhani kuna muda kocha anaweza kuwa na mahaba na mchezaji kuliko uwezo wake, hilo nakuona hata kweye team za ulaya Mfano pale Man U , Martial huwa anacheza utumbo ila kila game lazima umuone licha ya kwa na wachezaji wazuri nje.Hivi kwanini mukoko atoke na mauya akabaki ikiwa alicheza vibaya sana.?toka mwanzo tumesema kapoteza mipira mingi.
Diplomasia ya Yanga haikujua umuhimu wa hii mechi?
Tatizo limeanzia kwa viongozi wenu kuleta team kubwa kuliko maandaliz yenu.
hawa ndo walichapika goli 3Under 20 wamefungwa na kaka zao wamefungwa pia
Mwamnyeto now hana namba pale, atakuwa anaanza Bangala na JobMkuu kibwana pia kajitahidi pia.
Djuma uzoefu wake ni mkubwa hana presha kabisa na anapanda kwa uhakika habadilishi.
Job anapipa kazi aiseeh angalia pasi ndefu nyuma alizokuwa anapiga ndio zilikuwa hatari mbele tofauti na bakari anapiga vipasi vifupi na pembeni tu.
Job anatisha aseeh mkuu.
Dah imebidi nicheke watanzania kwa utani hapana πππ
Bila shaka! ..atakua msaada sana pale yanga msimu huu kuhakikisha yanga inaendelea inabaki kwenye nafasi yake ile ile ya upili
Daa we jamaa itakua yanga unaijua vzrHuu ndo muda ambao huwa sina Imani na timu yangu ikiwa Uwanjani