Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

kile kikosi cha mwanzo ndio kilikuwa chenyewe.
Japo lengo la kocha lilikuwa kila mchezaji acheze ila pia kumtoa feisal na makambo imetugharimu pia djuma.
Hata hivyo zanaco imetuonyesha tunapotakiwa kuziba kabla ya Mechi na River Utd..
Jamaa beki zao zinacheza kwa akili mnoo na kila mpira wanaopiga wanapiga kwa sababu.
Yanga mmepwaya sana katikati, na beki pale nyuma ni Dickson Job na Djuma tu, hao wengine wote ni takataka.
 
Sijashangaa sana Yanga SC kukutana na haya matokeo ukizingatia fitness ya wachezaji. Yanga walitumia siku kadhaa kusafiri pamoja na hayo bado huko Morocco hawakupata muda wa kutosha. Mbali na hayo Zanaco walikuwa Superb sana
 
Midfield ya Mauya ni ushenzi, Yanga sijui mnakwama wapi tu hivi Mauya anacheza nini?

Anyways ngoja tuone.
Hivi kwanini mukoko atoke na mauya akabaki ikiwa alicheza vibaya sana.?toka mwanzo tumesema kapoteza mipira mingi.
 
Yanga mmepwaya sana katikati, na beki pale nyuma ni Dickson Job na Djuma tu, hao wengine wote ni takataka.
Mkuu kibwana pia kajitahidi pia.
Djuma uzoefu wake ni mkubwa hana presha kabisa na anapanda kwa uhakika habadilishi.
Job anapipa kazi aiseeh angalia pasi ndefu nyuma alizokuwa anapiga ndio zilikuwa hatari mbele tofauti na bakari anapiga vipasi vifupi na pembeni tu.
Job anatisha aseeh mkuu.
 
Hivi kwanini mukoko atoke na mauya akabaki ikiwa alicheza vibaya sana.?toka mwanzo tumesema kapoteza mipira mingi.
Sijui tu, nadhani kuna muda kocha anaweza kuwa na mahaba na mchezaji kuliko uwezo wake, hilo nakuona hata kweye team za ulaya Mfano pale Man U , Martial huwa anacheza utumbo ila kila game lazima umuone licha ya kwa na wachezaji wazuri nje.

Kwenye hii mechi ya leo kocha amuache Mauya kwakua hakuwa na option nyingine ya kiungo mshambuliaji ndo maana hakumto.Kumbuka kuwa Mkoko ni kiungo mkabaji hivyo hakuhusiani kabisa na Mauya kiuchezaji.
 
Diplomasia ya Yanga haikujua umuhimu wa hii mechi?

Tatizo limeanzia kwa viongozi wenu kuleta team kubwa kuliko maandaliz yenu.

Wanasadifu kauli za manara ukitoa mzee manara na mzee kikwete waliobakia yanga wote hawana akili
 
Yanga wakijaandaa kukutana na kapumbu

FB_IMG_1630133514605.jpg
 
Mkuu kibwana pia kajitahidi pia.
Djuma uzoefu wake ni mkubwa hana presha kabisa na anapanda kwa uhakika habadilishi.
Job anapipa kazi aiseeh angalia pasi ndefu nyuma alizokuwa anapiga ndio zilikuwa hatari mbele tofauti na bakari anapiga vipasi vifupi na pembeni tu.
Job anatisha aseeh mkuu.
Mwamnyeto now hana namba pale, atakuwa anaanza Bangala na Job
 
Timu yako imefungwa

Utelez hujapata na weekend ndio inaisha [emoji23][emoji23]

Jipende blaza
 
Back
Top Bottom