Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

yaani jamani hawa mabinti humu ndani ndio wanakata tamaa kabisa, umenikumbusha moja ma colleague ambae kwa sasa kahamishiwa arusha kikazi....nae cku hiyo alinicngizia kwa wife wake kwamba tunaenda moshi kwenye sendoff ya mdogo wake nyamayao na cc kama unavyojua tupo kwenye kamati, katoka arusha bila kunitaarifu lolote anakujua alipokuwa anaenda, mie natokea nai naenda njoro nikasema nipitie shoprite then niunganishe, nakutana na wife, salamu salamu, mbona upo huku saa hizi? mie nipo eeeh na hapa napitia kwa sis tupate moja moto then ndio niunge kwa mama, naambiwa mr nae yupo njoro kwenye sendoff anakusubiri, mie nipo sendoff ya nani mbona cna taarifa?...akanikatiza juu juu tukaagana!...nilivuruga ile ndoa vibaya sana!
 
De novo umeishtukia hiyo......
Wanawake siku zote wanajifanya wako safi,

sisi tnaona sifa kujitangaza.wao wanafanya kimya kimya
tena zaidi yetu......

afadhali kama mnalijua hilo, kwa cc kama kuna mwanamke anaafnya haya mpaka uje umgundue/mkamate ni kama ndoto hivi, hakuna mwanamke anatoka kwenye ndoa yake kizembe kizembe kama nyie mfanyavyo, na ukute wewe unarudi asubuhi lakini yeye saa 11 akitoka job yupo home lakini kafanya makubwa kuliko unavyofikiria...ndio mana mnaishiliaga kutushikia mitutu/visu mnapojua kama mke wako amecheza rafu, hamuamini lakini ukweli ndio huo, kafanya sanaaa bahati mbaya yake imefika ameshikika.
 
Ngoja nisubiri kina dada/mama wa JF kama watasikitishwa na hii infidelity ya mwenzao LOL!!
 
Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...
 
Baridi ya nini tena B wakati ulishapigia mistari! Si ulisema wa kwako hayuko kwenye kundi hili? Sasa baridi inatoka wapi? Au unaanza kuyakatia rufaa mawazo yako?

nah nah nah!!! sijabadili mawazo bado huo ndo msimamo so far biggy
 
There are currently 28 users browsing this thread. (16 members and 12 guests)
Asprin katelero chuchunge Qadhi Next Level Nyamayao+ KakaJambazi Dark City Babuyao Kyachakiche Rose1980+ Misterdennis nyangau Chapakazi

Thread linauza kama lile la Dasophy!
 
Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...

Mkuu umesoma kati ya mistari....
 
ucnitilie maneno mdomoni kaka, nazungukwa na watu wenye shida zao kwenye uhusiano naona mambo yao yanavyokwenda, kwangu mie hata akifanya ctamrudishia kwa kumfanyia mpaka hapo tutakapotengana kijumla, upo na mimi?
 
Hivi mbona hamtaji mazuri ya infidelity???
 
Duh! kama ni hv kuna kupona kweli?
 
Duh! kama ni hv kuna kupona kweli?

ndio mana nasema wanawaogopesha, lakini asilimia kubwa wanayoyasema ndiyo tunayokumbana nayo humu ndani, kinauma zaidi wewe umetulia unaletea matatizo ndani, nikibamba nasema tena naharibu kabisaaaa.....yaani mpaka ndugu zake wamuweke kikao acnirudie tena, kuuana nikiona sipo tayari kabisa...
 
Hapa ulisema hivi!

Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...
Mimi nikakupongeza hapa

Mkuu umesoma kati ya mistari....
Huyu akanielewa vema

ucnitilie maneno mdomoni kaka, nazungukwa na watu wenye shida zao kwenye uhusiano naona mambo yao yanavyokwenda, kwangu mie hata akifanya ctamrudishia kwa kumfanyia mpaka hapo tutakapotengana kijumla, upo na mimi?
Hapa ukaamua kuyaonea kinyaa matapishi yako mwenyewe! Dah!:sick:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…