Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Duh Teamo!

Incident1: Tulitoka kwenye Harusi maeneo ya Golden Tulip - Harusi ilikuwa ya "Kilokole" - soda kwa sana! Nilikuwa na maraffiki zangu watatu - wote tumeoa na bahati mbaya wake zetu hawakuweza kuwa nasi kwenye hiyo harusi - Tumefika "Corner Baa" yapata saa sita Usiku tukaamua kuingia "Ambiance" kupata mbili tatu halafu kila mtu aondoke - Uwezi kuamini mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kutoka nje - ilikuwa tayari ni saa moja kasorobo asubuhi! Well - ndoa yangu ilisimama (nilisema ukweli) lakini ilichukua kama miaka mitatu kila mara wifu ananiuliza swali lile lile "in different ways" - rafiki zangu ndoa zao zilidondoka - sina uhakika walisema nini - lakini ni siku ambayo mpaka kesho ipo akilini mwangu!

Incident 2: Nimechukua "dada eliza" maeneo fulani ya Dar es Salaam, mara tupo kwenye anga za starehe kwa sana - home nilidanganya kuwa naenda kwenye msiba wa co-worker and will be late - Kosa yule co-worker nilimtaja kwa jina! Ghafla bin Vuu yule co-worker anapitia maeneo ya nyumbani - wifu anakuwa mdadisi anaamua kutomuuliza yule jamaa habari za msiba - lakini katika mazungumzo jamaa anaonyesha wazi kuwa hakuna msiba: Jamaa ananipigia simu na kunieleza kuwa amepitia nyumbani! "eliza" nilimuacha "gesti" na kuchomoka kama mshale - nili-make another story altogether: Msiba na mfiwa ilibidi wabadilishwe!

yaani jamani hawa mabinti humu ndani ndio wanakata tamaa kabisa, umenikumbusha moja ma colleague ambae kwa sasa kahamishiwa arusha kikazi....nae cku hiyo alinicngizia kwa wife wake kwamba tunaenda moshi kwenye sendoff ya mdogo wake nyamayao na cc kama unavyojua tupo kwenye kamati, katoka arusha bila kunitaarifu lolote anakujua alipokuwa anaenda, mie natokea nai naenda njoro nikasema nipitie shoprite then niunganishe, nakutana na wife, salamu salamu, mbona upo huku saa hizi? mie nipo eeeh na hapa napitia kwa sis tupate moja moto then ndio niunge kwa mama, naambiwa mr nae yupo njoro kwenye sendoff anakusubiri, mie nipo sendoff ya nani mbona cna taarifa?...akanikatiza juu juu tukaagana!...nilivuruga ile ndoa vibaya sana!
 
De novo umeishtukia hiyo......
Wanawake siku zote wanajifanya wako safi,

sisi tnaona sifa kujitangaza.wao wanafanya kimya kimya
tena zaidi yetu......

afadhali kama mnalijua hilo, kwa cc kama kuna mwanamke anaafnya haya mpaka uje umgundue/mkamate ni kama ndoto hivi, hakuna mwanamke anatoka kwenye ndoa yake kizembe kizembe kama nyie mfanyavyo, na ukute wewe unarudi asubuhi lakini yeye saa 11 akitoka job yupo home lakini kafanya makubwa kuliko unavyofikiria...ndio mana mnaishiliaga kutushikia mitutu/visu mnapojua kama mke wako amecheza rafu, hamuamini lakini ukweli ndio huo, kafanya sanaaa bahati mbaya yake imefika ameshikika.
 
Tulikuwa hospital...a new trauma case arrived...ni mwanamke in her 30s...ana conflict with her son's father but still in marriage.Aliondoka home kwa mumewe weekend kwenda beach to have fun,bila kuaga, with her boyfriend..newly dated.An accident always is not in the itinerary,boat ime crash,she lost consciousness when brought in the hospital.Ilibidi tutafute next of kin....walikuja 2 guys;her hubby and B/F....hekma ikatumika,jamaa wakamudu kuheshimiana...n both were doing their best to help the patient.

A quick diagnosis ikaonesha kuwa mgonjwa angepata permanent paralysis of the lower limbs ...hivyo angekuwa wheel-driven in the rest of her life....the B/F akaona he is not gonna sign in for that...aka quit(akasepa)...the hubby akabaki na kuonesha mapenzi ya hali ya juu kwa mkewe.

Yule mgonjwa kutokana na trauma na psychological embarrassment ,akapata seizure,tukamwita our senior Dr coz things were going out of control...aka diagnose kuwa...the paralysis was just temporary na mgonjwa can walk again after recovery.So the hubby won and the B/F lost

The wife cried alot......na sitarajii kama anaweza kuwaza ku cheat tena au kudai talaka ambayo huenda yeye ndio alisababisha huo ugomvi.

The doctors tulikuwa aside huku tuki monitor amani iendelee kuwepo among of the 3,tukihofia kuingilia mapenzi ya watu,maana hatukuweza kujua yule mgonjwa ni yupi hasa anampenda....at the end of the game tukamuusia tu yule dada,na kumpa ushauri wa kisaikolojia.

Kwa hiyo huo uongo unaofanywa na infidalator and infidalatee(if u will)....sometimes things are not in the itinerary.

Qadhi

Ngoja nisubiri kina dada/mama wa JF kama watasikitishwa na hii infidelity ya mwenzao LOL!!
 
afadhali kama mnalijua hilo, kwa cc kama kuna mwanamke anaafnya haya mpaka uje umgundue/mkamate ni kama ndoto hivi, hakuna mwanamke anatoka kwenye ndoa yake kizembe kizembe kama nyie mfanyavyo, na ukute wewe unarudi asubuhi lakini yeye saa 11 akitoka job yupo home lakini kafanya makubwa kuliko unavyofikiria...ndio mana mnaishiliaga kutushikia mitutu/visu mnapojua kama mke wako amecheza rafu, hamuamini lakini ukweli ndio huo, kafanya sanaaa bahati mbaya yake imefika ameshikika.

Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...
 
Baridi ya nini tena B wakati ulishapigia mistari! Si ulisema wa kwako hayuko kwenye kundi hili? Sasa baridi inatoka wapi? Au unaanza kuyakatia rufaa mawazo yako?

nah nah nah!!! sijabadili mawazo bado huo ndo msimamo so far biggy
 
There are currently 28 users browsing this thread. (16 members and 12 guests)
Asprin katelero chuchunge Qadhi Next Level Nyamayao+ KakaJambazi Dark City Babuyao Kyachakiche Rose1980+ Misterdennis nyangau Chapakazi

Thread linauza kama lile la Dasophy!
 
Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...

Mkuu umesoma kati ya mistari....
 
ucnitilie maneno mdomoni kaka, nazungukwa na watu wenye shida zao kwenye uhusiano naona mambo yao yanavyokwenda, kwangu mie hata akifanya ctamrudishia kwa kumfanyia mpaka hapo tutakapotengana kijumla, upo na mimi?
 
Hivi mbona hamtaji mazuri ya infidelity???
 
Nilipokuwa sehemu sehemu siku hiyo, nilikuwa sipokei simu kabisa saa hiyo na Mamaa alifahamu kuwa niko free na akashangaa.

Nilipokuja kuangalia, nikajua nimeshalichemsha. Basi niliondoka na shati langu nje ndani hadi home na CHAKI ya kuchezea Pool ikiwa sikioni. Kufika home nikaanza kujitetea kuwa sikupokea kwa sababu ehhh, ehhhh tulikuwa na kimkutani nikaweka simu Silence.

Mamaa akaniangalia na kusema "Mjinga wee, tafuta uongo mwingine. Utakuja kufia kwenye POOL".

Hiyo inaitwa cheating to power 2.

Duh! kama ni hv kuna kupona kweli?
 
Duh! kama ni hv kuna kupona kweli?

ndio mana nasema wanawaogopesha, lakini asilimia kubwa wanayoyasema ndiyo tunayokumbana nayo humu ndani, kinauma zaidi wewe umetulia unaletea matatizo ndani, nikibamba nasema tena naharibu kabisaaaa.....yaani mpaka ndugu zake wamuweke kikao acnirudie tena, kuuana nikiona sipo tayari kabisa...
 
afadhali kama mnalijua hilo, kwa cc kama kuna mwanamke anaafnya haya mpaka uje umgundue/mkamate ni kama ndoto hivi, hakuna mwanamke anatoka kwenye ndoa yake kizembe kizembe kama nyie mfanyavyo, na ukute wewe unarudi asubuhi lakini yeye saa 11 akitoka job yupo home lakini kafanya makubwa kuliko unavyofikiria...ndio mana mnaishiliaga kutushikia mitutu/visu mnapojua kama mke wako amecheza rafu, hamuamini lakini ukweli ndio huo, kafanya sanaaa bahati mbaya yake imefika ameshikika.
Hapa ulisema hivi!

Ahsante dada yangu. Angalau umekuwa wa kwanza kukiri kuwa infidelity ni sehemu ya maisha yako. It is there to stay siyo? Cha msingi ni kucheza karata yako vizuri mumeo asigundue. Safi sana! Haya mwingine naye ajitokeze tafadhali...
Mimi nikakupongeza hapa

Mkuu umesoma kati ya mistari....
Huyu akanielewa vema

ucnitilie maneno mdomoni kaka, nazungukwa na watu wenye shida zao kwenye uhusiano naona mambo yao yanavyokwenda, kwangu mie hata akifanya ctamrudishia kwa kumfanyia mpaka hapo tutakapotengana kijumla, upo na mimi?
Hapa ukaamua kuyaonea kinyaa matapishi yako mwenyewe! Dah!:sick:
 
Back
Top Bottom