Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

halafu wao wanaona kawaidaa... mie nimcal mtu 27 times kawa mamangu mzazi...khaaa 3 znamtosha ikiambatana na kuzima cm kabisa....afie huko huko.

Dada punguza ukali..sio vizuri kuombeana mabaya..
 
ni kweli kabisa.....hv nagundua Bala kafanya infidelity dah.............ngoja kwanza (i think I will get a heart attack)

Hapana B. Heart attack unaipata sasa hivi kwa sababu unatengeneza picha zaidi ya movie 100 za Hollywood. Siku yakikutokea unabaki na picha moja tu ya ku-deal nayo. Life becomes very simple. Unamaliza movie yako na maisha yanasonga mbele. Hakuna familia iliyopotea kabisa eti kwa sababu baba au mama kafariki. Mungu ametupa uwezo mkubwa wa kuhandle matatizo. Unamalizana nalo hata kama ni kubwa namna gani. How...., ndo usubiri yakikukuta!
 
Itakuwaje? ngoja niondoke naona holiday yangu itaharibika sasa hivi .... C u guys in few days...
 
Dada punguza ukali..sio vizuri kuombeana mabaya..

khaaa mdogo wangu, ucwe sensitive sana na wewe, cwezi kumuombea baba watoto wangu mabaya ati na hata hapo cwezi kumcal zaidi ya mara 3 kwa wakati tofauti na ni muda ucoeleweka/cjauzoea kwake wa kurudi home then nikamchekea, unajua presha mtu anayokuwa nayo ikiwa hivyo?
 
Itakuwaje? ngoja niondoke naona holiday yangu itaharibika sasa hivi .... C u guys in few days...

Unakimbia bure tu. Watu ambao unasikia story zao hawakwenda kwa Padre au Shekh kuomba Mungu awashushie hiyo zawadi. Wala hawakununua toka supermarket. It can happen to you as well. Just be prepared!
 
Ngoja Bigirita aamke. Tutapata uzoefu wa kutosha. Kwa sasa ngoja nirizevu uzoefu wangu..............:fish2:
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

King'asti (Yesterday)

Tehe tehe\!! utateseka sana mwaka huu!!
 
ni kweli kabisa.....hv nagundua Bala kafanya infidelity dah.............ngoja kwanza (i think I will get a heart attack)

huwa nakuonea huruma sana dearest, yaani cjui nikuelezeje...una roho ndogo sana, ucje fikiri japo ngumu kwenye ndoa ni mpaka mtu atakapo cheat, kuna vijimambo vingine vigumu kuliko hii na bado unatakiwa uyakabili.....cjui nikueleze vipi mpendwa...
 
Yaani Dark City ...hongera sana kama pepo wa ngono ukikunyemelea unakemea kwa jina la yesu
hata Teamo sina hakika kama hii mijambo anafanya ...labda usiusemee moyo wa mwenzio
 
huwa nakuonea huruma sana dearest, yaani cjui nikuelezeje...una roho ndogo sana, ucje fikiri japo ngumu kwenye ndoa ni mpaka mtu atakapo cheat, kuna vijimambo vingine vigumu kuliko hii na bado unatakiwa uyakabili.....cjui nikueleze vipi mpendwa...

hapo wala hujakosea kwenye red!!

mimi hili ndo huwa nahisi i gumu sana...........or rather moja kati ya magumu ya ndoa
 
Uko sahihi FL1. Penzi haligawanyiki hata kwa dawa ila sex inagawanyika hata ukitaka mara 100. Hivi vitu ni tofauti kabisa! Tatizo la wakina dada/mama wengi ni kuukataa huu ukweli ingawa wanauishi!

tukiukubali ni kwamba tumehalalisha hicho kitendo, kwa binafc yangu ckubali!
 
Wapendwa msijali,hapa si ndio mjini?Ngoja tuu,atailipa mara 3. Au nifanye nne kabisa.Mie kuku wangu nemtega mwenyewe,manati nazibadilisha kila siku.
thats is exactly what she said!
undava undava mama!! naona upo kibiashara zaidi! let see~~
 
Aisee hii kitu imenifanya hadi nikajiregister, sio mchezo wanaume bana, wote ni wale wale.

embu badilikeni bana, ombeni OFU ya Umungu iwe juu yenu.
 
Hiyo kitu kwenye Red inachochea sana infidelity... after six beers anaanza kumuona Eliza kama Queen Vile...

Kesheni mkiomba.... Hamjui siku wala saa...
 
Aisee hii kitu imenifanya hadi nikajiregister, sio mchezo wanaume bana, wote ni wale wale.

embu badilikeni bana, ombeni OFU ya Umungu iwe juu yenu.

Ikunda karibu
lakini hilo neno ni HOFU au ulimaanisha tu ulivoandika?
 
Hiyo kitu kwenye Red inachochea sana infidelity... after six beers anaanza kumuona Eliza kama Queen Vile...

Kesheni mkiomba.... Hamjui siku wala saa...

Baba Askofu unakazi kubwa ya kuwasaidia hawa friends zako ,kwa maombi yako watabarikiwa na kuacha haya yote ..kesha ukiwaombea Amen ..tutasaidiana
 
Teamo mwambie Mod afunge hii sredi imenichosha asee meku nimechoka kweli kweli babaangu
 
hapo wala hujakosea kwenye red!!

mimi hili ndo huwa nahisi i gumu sana...........or rather moja kati ya magumu ya ndoa

sasa ni bora upate anaefanya but hakuonyeshi kwamba anafanya, sis wangu alikuwa mpaka anapigiwa cm na hawara anamwambia leo "mume" wetu c kavaa boxer nyekundu? bac ujue nipo nae, hapo mume wao anarudi asubuhi nyumbani, una la kumuuliza na unajua alipotokea?.huyu sis wangu yeye ndoa ilimshinda na cku ilipomshinda aliharibu kabisa kwa mumewe na kwa kimada, kimada amehama na mji,ndoa imekufa kibudu....wachia mbali marafiki wenye malalamiko kama haya.....cjui nikusaidiaje BHT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…