Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Msiogope; kwani uking'atwa na nyoka sio mwisho wako kwenda kwa miguu!:A S tongue:
 
Hivi ulitegemea ukiolewa ndio unaumiliki mtambo kwa 100%. Halafu hao wanawake wenzio ambao hawajabahatika kupata wanaume wao wakae hihi hivi tu? Huo si ndio uchoyo wenyewe.... Jamani acheni na wenzenu nao wafaidi hii mitarimbo. mbona mnakuwa hivyo?
 
super dearest nimekupata sasa.....senkyu!!!
 
Boys will alwyz be boys Nyamayao.

Taratibu tu watajua kamanda. Sijui kwanini hawa viumbe wanakuwa wagumu namna hii kuelewa. Hivi mitaani mwao hakuna majogoo waone yanavyofanya. Asili ni asili jamani, hata wanyama wanadumisha hii mila.....
 
ndio mana nilikuuliza nani alikusimika huo uaskofu? hukunipa jibu mpaka leo! khaaa una balaa askofu, nimechekaa sana.

:angel: ni viongozi wa kanisa na waumini wenye imani na mimi mpendwa...:hail::amen:
 
well said maa....kuna wakati mambo shwari utasema mko paradise, kuna wakati mtasema mpo kuzimu...haaa kila mtu aingie jamani.
 
Askofu haya ni mahubiri? hebu tupe uzoefu unapokuwa unasovu matatizo ya ndoa au unapokuwa na sista magdalena kwenye mimbari wakati wa mkesha wa mwaka mpya.:fish2:

Uzoefu wangu ni kufunga na kusali.... Mungu hapendi Infidelity...
 
Hivi ulitegemea ukiolewa ndio unaumiliki mtambo kwa 100%. Halafu hao wanawake wenzio ambao hawajabahatika kupata wanaume wao wakae hihi hivi tu? Huo si ndio uchoyo wenyewe.... Jamani acheni na wenzenu nao wafaidi hii mitarimbo. mbona mnakuwa hivyo?

haaa nimeshamuachia kitambooo, cha kushangaza saas hivi yeye ndio anabanana na mie....
 
well said maa....kuna wakati mambo shwari utasema mko paradise, kuna wakati mtasema mpo kuzimu...haaa kila mtu aingie jamani.
Umejuaje hapo dada? (Niko kikazi zaidi) Sore, ofu topiki
 
haaa nimeshamuachia kitambooo, cha kushangaza saas hivi yeye ndio anabanana na mie....

He! Kwa hiyo nawe ushaanza infidelity mpaka aanze kukubana? Ahsante kwa taarifa. INFIDELITY IS THERE TO STAY. I can easily conclude!!:lie:
 
Taratibu tu watajua kamanda. Sijui kwanini hawa viumbe wanakuwa wagumu namna hii kuelewa. Hivi mitaani mwao hakuna majogoo waone yanavyofanya. Asili ni asili jamani, hata wanyama wanadumisha hii mila.....
Kaka mkubwa nimekutendea haki hapo juu.
 
kama ckosei wewe uliipinga sana hii kitu kwenye thread ya Carmel, kulikoni leo? ama naota.

Ah kwani hapa si tunasimulia matukio ya kutosahauliwa kwenye infidelity? nami kule nilikiri kuwa niliwahi kum infidelitia Mama jr! Ndo maana nimeashirikisha kutolisahau!

Ama?:twitch:
 
He! Kwa hiyo nawe ushaanza infidelity mpaka aanze kukubana? Ahsante kwa taarifa. INFIDELITY IS THERE TO STAY. I can easily conclude!!:lie:

haa wapi, c ndio ile kuona wify mbona hana tyme nami tena, haulizwi/haojiwi/aje asubuhi sawa/hivi na vile poa....alijirudi mwenyewe, sasa ishu kama hii BHT hawezi, wengine tunakaukia kama hakuna linaloendelea wakati BHT atakuwa kajifungia chumbani anaomboleza.
 
Mungu wangu!!!

Hivi nani alikuambia ukiitishwa kikao na ndugu ndio unaacha?? My experience tells me that mtu anaacha anayoyafanya kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na si ndugu hata kama angekua ni identival twin wake

heheeeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…