Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Teamo nilikuwa namalizia kuwaaga wajumbe wenzangu walokuja hapa Dodoma ndo maana sikupita hapa na kuona hii uzful sred!

Nililazimika kuchoma boxer moto pamoja na makaratasi mengine nikisingizia kuwa nilikuwa siyahitaji baada ya kugundua kuwa ilishika sana harufu ya ile con.domu yenye matunda! Sasa justification ya kwa nini nachoma makaratasi usiku.................!
 
binasfi siichukulii ndoa kama lelemama, ukizingatia umuhimu na utakatifu wa hii taasisi yenyewe. ila nashangazwa na haya yanayotendwa na nyie mloingia humo. nasukumwa kusema inawezekana baadhi yenu mliingia bila kujua what were u putting yourselves into.

Hapana wote tunajua tuliyomo ila na shetani naye anatafuta wafusi katikati yetu! Ndo maana kuanguaka kupo na cha muhimu ni kuwa unasimamaje baada ya kuanguka! Unaweza kusimama ukarudia kuanguka tena!
 
binasfi siichukulii ndoa kama lelemama, ukizingatia umuhimu na utakatifu wa hii taasisi yenyewe. ila nashangazwa na haya yanayotendwa na nyie mloingia humo. nasukumwa kusema inawezekana baadhi yenu mliingia bila kujua what were u putting yourselves into.

Inawezekana tunapowaambia..."For Better, For Worse, For Richer, For Poor" wao nadhani wanatafsiri vibaya kuwa... "Four Better, Four Worse, Four Richer, Four Poor" na masuria...😡
 
kuna walioingia kihivyo (1 wapo mie)...nikidhani ndio mapenzi/ninavyompenda/anavyonipenda bac ndo ndoa yenyewe hiyo, thts y cku alipo propose kwangu mie nilijonea raha/sawa kabisa...kuna wale walioingia/watakaoingia(kama wewe) wakielewa uhalisia wake lakini nao wameathirika kwa namna moja au nyingiine, hili game halitabiriki dearest.
 
Inawezekana tunapowaambia..."For Better, For Worse, For Richer, For Poor" wao nadhani wanatafsiri vibaya kuwa... "Four Better, Four Worse, Four Richer, Four Poor" na masuria...😡

ndio mana nilikuuliza nani alikusimika huo uaskofu? hukunipa jibu mpaka leo! khaaa una balaa askofu, nimechekaa sana.
 
Uko sahihi FL1. Penzi haligawanyiki hata kwa dawa ila sex inagawanyika hata ukitaka mara 100. Hivi vitu ni tofauti kabisa! Tatizo la wakina dada/mama wengi ni kuukataa huu ukweli ingawa wanauishi!
Tell them mkuu.
 
Inawezekana tunapowaambia..."For Better, For Worse, For Richer, For Poor" wao nadhani wanatafsiri vibaya kuwa... "Four Better, Four Worse, Four Richer, Four Poor" na masuria...😡

Askofu haya ni mahubiri? hebu tupe uzoefu unapokuwa unasovu matatizo ya ndoa au unapokuwa na sista magdalena kwenye mimbari wakati wa mkesha wa mwaka mpya.:fish2:
 
Inawezekana tunapowaambia..."For Better, For Worse, For Richer, For Poor" wao nadhani wanatafsiri vibaya kuwa... "Four Better, Four Worse, Four Richer, Four Poor" na masuria...😡

hahaaaaaaaaaaaaaaa lol!!! jamani Askofu jamani jamani uwiiiiiiiiiiii yeomii!! basi bana.....
 
Teamo nilikuwa namalizia kuwaaga wajumbe wenzangu walokuja hapa Dodoma ndo maana sikupita hapa na kuona hii uzful sred!

Nililazimika kuchoma boxer moto pamoja na makaratasi mengine nikisingizia kuwa nilikuwa siyahitaji baada ya kugundua kuwa ilishika sana harufu ya ile con.domu yenye matunda! Sasa justification ya kwa nini nachoma makaratasi usiku.................!

kama ckosei wewe uliipinga sana hii kitu kwenye thread ya Carmel, kulikoni leo? ama naota.
 
binasfi siichukulii ndoa kama lelemama, ukizingatia umuhimu na utakatifu wa hii taasisi yenyewe. ila nashangazwa na haya yanayotendwa na nyie mloingia humo. nasukumwa kusema inawezekana baadhi yenu mliingia bila kujua what were u putting yourselves into.

Kuna milima na mabonde, masika na kiangazi n.k, usitegemee NDOA ni amani, upendo na mazuri mengi, usijidanganye, utakapoingia ndani ndipo utaelewa, ukizingatia maadili ndio ivyo tena, kwisha habari yake,
na katika ndoa za sasa nyingi ni maigizo tu, zilizo ndoa kamili ni chache sana.
 
Back
Top Bottom