Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Nah! I am well aware mzee elimu yangu juu ya haya mambo naiamini hawkings ukitoa ku study wormholes(einstein-rosen bridges ) study yake ya origin of the universe imeegemea zaidi kwenye string theory sitaingia ndani zaidi ila in short aliwahi kusema haya

" I think the universe was spontaneously created from nothing accoding to the laws of science"

String theory in brief

hawkings ameelezea nature ya universe kwa ku replace every single force and matter with strings ambazo zina vibrate na ku twist in such a way that to the observer zinaonekana kama ni some particles ,na hizi strings zinapo interact with each other zinasababisha breaking of the universal symmetry ambapo at that point of breaking ndo kunazaliwa universe nyengine .

Na hiyo ndiyo string theory in brief ☝️☝️

Hivi unajua kuwa NASA wameshafanya experiment ambayo ime i weaken string theory na siku zijazo tutaiondoa kabisa katika theories of origin and nature of the universe google hili neno "NASA's Chandra X-ray Observatory".

So sidhani kama itakuwa ni jambi la busara kutumia weakened theory ku prove something lets be better.

Mkuu hebu tuelezee nature ya hizo strings alizoziongelea stephen hawkings?? How did they come to existance??!!
Hzo string umesoma kwenye kitabu kipi cha hawking!?
 
mungu ndio Nani? Achana na hiyo miungu na focus na Mungu utaelewa.
 
Mimi sijashangaa chochote kufufua watu, Ila nashangaa mungu wa Quran jukumu la kutoa roho kampa Malaika mtoa roho, lakini jukumu la kufufua hajatoa maelezo yoyote kwamba Nani amempa jukumu Hilo.

Kwa kukusaidia tuu,
Mungu MUWEZA WA YOTE Kama alivyotoa mamlaka na uweza Kwa baadhi ya viumbe wake kama vile kuleta watu Duniani, kuondoa watu Duniani, ndivyo kuna mhusika aliyepewa power ya kufufua wafu wote ikiwemo Mtume Muhammad SWA.
Mhusika huyo anafahamika kama Yesu Kristo.

Unaweza ukanieleza kitabu cha Injili lengo lake kuu NI lipi Kwa Wanadamu? Kwa mujibu wa uislam.
Maana kila kitabu kina lengo kuu
Lete rejea ya ARGUMENT yako...

Mola Mlezi anasema kuhusu Yesu [Nabii wa Allah Issah mwana wa Mariam]

Indeed, the example of Jesus to Allah is like that of Adam. He created him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
-Surah Aal-E-Imran, Ayah 59

Akasema tena

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.

-Surah An-Nisa', Ayah 171

Mola Mlezi anasema tena

[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet.

-Surah Maryam, Ayah 30

Mola Mlezi anasema kwenye aya nyingine

And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.

-Surah Al-Ma'idah, Ayah 116

Kwa lugha nyepesi Jesus has never claimed to be GOD or have have any devine power besides what Almighty God bestowed to HIM as a sign to HIS people to obey COMMANDMENTS of the Lord Almighty God
 
Sisi tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hivyo sisi ni bora kuliko malaika. Quran mbona hujaikosoa bwana ustaazi?
Uwezo wa kuikosoa Quran hana hata akitafuta wataalam na wasomi bobevu dunia nzima hawataweza wala kuthubutu.
Mkuu gusa na kidhihaki vitabu vyoye ila Quran utaishia kuiamini tu.
 
Lete rejea ya ARGUMENT yako...

Mola Mlezi anasema kuhusu Yesu [Nabii wa Allah Issah mwana wa Mariam]

Indeed, the example of Jesus to Allah is like that of Adam. He created him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
-Surah Aal-E-Imran, Ayah 59

Akasema tena

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.

-Surah An-Nisa', Ayah 171

Mola Mlezi anasema tena

[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet.

-Surah Maryam, Ayah 30

Mola Mlezi anasema kwenye aya nyingine

And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.

-Surah Al-Ma'idah, Ayah 116

Kwa lugha nyepesi Jesus has never claimed to be GOD or have have any devine power besides what Almighty God bestowed to HIM as a sign to HIS people to obey COMMANDMENTS of the Lord Almighty God

Sijasema Yesu aliwahi jiita Mungu, hata Mimi najua Yesu sio Mungu, nilichosema ni kuwa Yesu alipewa majukumu ya kukomboa wanadamu, kufufua wanadamu ni moja ya majukumu yake.

Yohana 11:23
Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.

Yohana 11:24
Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.

Yohana 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

Yohana 11:26
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Yohana 11:27
Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.
 
Biblia na Quran vyote ni vitabu vya kibinadamu vinavyomuelezea mungu wa jamii hizo mbili.
mungu wa Biblia aitwaye Jehovah,
Na mungu wa Quran aitwaye Allah ambaye ni mungu wa waarabu hata kabla haijaja hiyo Quran yenyewe,.

Mikanganyiko inatokana na Dini hizo zinavutia jamii zao zaidi, sio ajabu ukasikia Muislam anajifunza Kwa bidii Quran Ajue kiarabu Kwa Imani kuwa ndio lugha ya peponi au atakayohojiwa kaburini Jambo ambalo ni Uongo wa mchana
I remember the first day I touched the Book [MSAHAFU]; as a Christian I was a bit terrified of stories we used to be told kuhusu dini ya majini, ukishika msahahu utapagawa mapepo na bahati mbaya au nzuri nilipata nafasi ya kusoma sura kadhaa [nilikuwa nasoma tafasiri yake]LAKINI ILIYONITOA MACHOZI NI SURATUL YUSUF.... the arrangement of the scenes, clarity, humbleness na appealing devine flavour....

Nakupa challenge CHUKUA BIBILIA SOMA KUANZIA KITABU CHA MWANZO MPAKA MWISHO na BAADA YA HAPO CHUKUA MSAHAFU WA TAFASIRI ANZA MWANZO MPAKA MWISHO... halafu usikilize moyo wako...
 
Sijasema Yesu aliwahi jiita Mungu, hata Mimi najua Yesu sio Mungu, nilichosema ni kuwa Yesu alipewa majukumu ya kukomboa wanadamu, kufufua wanadamu ni moja ya majukumu yake.

Yohana 11:23
Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka.

Yohana 11:24
Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.

Yohana 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;

Yohana 11:26
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

Yohana 11:27
Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.
Wapi katika aya hizi YESU amepewa jukumu la kufufua na kuwahukumu kulingana na matendo yao?

Aliyoyafanya DUNIANI NI MIUJIZA ALIYOPEWA NA MOLA MLEZI ILI WATU WAMWAMINI YULE ALIYE MTUMA YESU SIYO KUMWAMINI YESU KAMA MWENYE DEVINE POWER!!!

"So Jesus said to them again, Peace be with you; as the Father sent me, I also send you." the book of John 20:21

"And eternal life is this, To know you, the only true God, and Jesus Christ whom you sent" John 17:3
 
Lete rejea ya ARGUMENT yako...

Mola Mlezi anasema kuhusu Yesu [Nabii wa Allah Issah mwana wa Mariam]

Indeed, the example of Jesus to Allah is like that of Adam. He created him from dust; then He said to him, "Be," and he was.
-Surah Aal-E-Imran, Ayah 59

Akasema tena

O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.

-Surah An-Nisa', Ayah 171

Mola Mlezi anasema tena

[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet.

-Surah Maryam, Ayah 30

Mola Mlezi anasema kwenye aya nyingine

And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.

-Surah Al-Ma'idah, Ayah 116

Kwa lugha nyepesi Jesus has never claimed to be GOD or have have any devine power besides what Almighty God bestowed to HIM as a sign to HIS people to obey COMMANDMENTS of the Lord Almighty God

Alafu hayo maandiko katika Sura ya Imran, Sura ya mariam Nani anayesimulia/anayeandika hayo maelezo?

Usijeukasema Mungu ndio aliandika au ukasema Kama wale wengine kuwa Quran ati ilishushwa?
 
Jibu hili hapa

"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware"

-Surah Yusuf, Ayah 3
 
I remember the first day I touched the Book [MSAHAFU]; as a Christian I was a bit terrified of stories we used to be told kuhusu dini ya majini, ukishika msahahu utapagawa mapepo na bahati mbaya au nzuri nilipata nafasi ya kusoma sura kadhaa [nilikuwa nasoma tafasiri yake]LAKINI ILIYONITOA MACHOZI NI SURATUL YUSUF.... the arrangement of the scenes, clarity, humbleness na appealing devine flavour....

Nakupa challenge CHUKUA BIBILIA SOMA KUANZIA KITABU CHA MWANZO MPAKA MWISHO na BAADA YA HAPO CHUKUA MSAHAFU WA TAFASIRI ANZA MWANZO MPAKA MWISHO... halafu usikilize moyo wako...

Hivyo vitabu vyote nimevisoma mwanzo mpaka mwisho,
Hakuna maajabu yoyote isipokuwa na Mafunzo kimaadili.

Wewe kusema tuu kuwa ulikuwa unatishwa ushanionyesha vile malezi uliyolelewa yalikuwa ya uongouongo na propaganda that why sasa hivi umekuwa mkubwa ukaona upande Wapili Kwa waislam ndio sahihi kwako.

Ila kimsingi sio Ukristo wala sio uislam dini zote zipo Sawa hazina jipya na la maana kwani zote zimeiba Stori kutoka Dini ya kiyahudi.

Hiyo Quran unayoiona hapo Bila Biblia haiwezi kuwa kitabu chenye maana kwani nguzo zote muhimu na nyeti imechukua kutoka katika Biblia.

Usijejidanganya hapo kuwa hivyo vitabu vimeshushwa sijui na Malaika sijui na Mungu 😂😂
Hivyo vitabu vyote vimeandikwa na binadamu wa kiyahudi,
Muhammad alichofanya ni ku-copy na ku-paste Kwa kuwasimulia wale washairi kile alichokuwa anakikumbuka.

Tukirudi nyuma kabisa, Kabla Muhammad hajawa Mtume yaani akiwa chini ya miaka 40 alikuwa anamuabudu Mungu mwenye jina gani?
Bila Shaka utamtaja Allah?
Je Allah wa kabla ya uislam aliyeabudiwa Kama moja ya miungu 360 ya pale Makka ndio huyuhuyu Allah aliyemtambulisha Muhammad baada ya kil kiitwacho kupokea Wahai(ufunuo) Kule mapangoni?
 
Hivyo vitabu vyote nimevisoma mwanzo mpaka mwisho,
Hakuna maajabu yoyote isipokuwa na Mafunzo kimaadili.

Wewe kusema tuu kuwa ulikuwa unatishwa ushanionyesha vile malezi uliyolelewa yalikuwa ya uongouongo na propaganda that why sasa hivi umekuwa mkubwa ukaona upande Wapili Kwa waislam ndio sahihi kwako.

Ila kimsingi sio Ukristo wala sio uislam dini zote zipo Sawa hazina jipya na la maana kwani zote zimeiba Stori kutoka Dini ya kiyahudi.

Hiyo Quran unayoiona hapo Bila Biblia haiwezi kuwa kitabu chenye maana kwani nguzo zote muhimu na nyeti imechukua kutoka katika Biblia.

Usijejidanganya hapo kuwa hivyo vitabu vimeshushwa sijui na Malaika sijui na Mungu 😂😂
Hivyo vitabu vyote vimeandikwa na binadamu wa kiyahudi,
Muhammad alichofanya ni ku-copy na ku-paste Kwa kuwasimulia wale washairi kile alichokuwa anakikumbuka.

Tukirudi nyuma kabisa, Kabla Muhammad hajawa Mtume yaani akiwa chini ya miaka 40 alikuwa anamuabudu Mungu mwenye jina gani?
Bila Shaka utamtaja Allah?
Je Allah wa kabla ya uislam aliyeabudiwa Kama moja ya miungu 360 ya pale Makka ndio huyuhuyu Allah aliyemtambulisha Muhammad baada ya kil kiitwacho kupokea Wahai(ufunuo) Kule mapangoni?
 
Jibu hili hapa

"We relate to you, [O Muhammad], the best of stories in what We have revealed to you of this Qur'an although you were, before it, among the unaware"

-Surah Yusuf, Ayah 3

Surah ya Yusufu Myahudi isimuliwe na Muhammad Muarabu wa Makka wa kabila la Wakurdi ambaye wakati anazaliwa Stories hizo zote zipo dunia nzima😂😂 tena zinazaidi ya miaka 1400 tangu Waisrael watoke Misri.

Unamjua mtu wa Kwanza kujua Muhammad ni Mtume ni Nani?
Mtu huyo alikuwa anafanya kazi gani na Dini gani?

Hapo utaona kuwa Waandishi WA Quran walikuwa watu wa namna ipi.
Na kamwe usije ukafikiri Biblia na Quran ni vitabu vilivyoandikwa na Mungu, labda usitumie akili yako vizuri.

Alafu elewa kuwa Muarabu(Muhammad) kamwe hana uwezo wa kutoa simulizi ya historia ya Waisrael kuliko Waisrael wenyewe.
Wala muisrael Hana uwezo wa kutoa Historia ya waarabu kuliko waarabu wenyewe.
Kwa mantiki hiyo Quran haiwezi kuwa primary data katika masimulizi ya kina Yakobo, Yusufu, Musa, Daudi, Suleiman, Yunus, Yesu wakati muandishi wa Quran ni muarabu ambaye hajui chochote kuhusu Waisrael.

Ni mtu asiyetumia akili pekeake ambaye ataacha kufuata Primary Data na kutumia Secondary Data(Quran) kama rejea ya mambo ya Torati, zaburi na Injili.

Sijasema Quran isitumike lakini ninachojaribu Kueleza ni Waarabu(Muhammad na jopo lake waliomuandikia Quran na waliokusanya vitabu vyote vya Quran baada ya kifo cha Muhammad) Ila najaribu kukufanya ujue kuwa Quran haijitoshelezi bila ya Biblia au vitabu vya kiyahudi.
 
And We certainly sent into every nation a messenger, [saying], "Worship Allah and avoid Taghut." And among them were those whom Allah guided, and among them were those upon whom error was [deservedly] decreed. So proceed through the earth and observe how was the end of the deniers.
Qur'an 16:36

[We sent them] with clear proofs and written ordinances. And We revealed to you the message that you may make clear to the people what was sent down to them and that they might give thought.
Qur'an 16:44

Of course life is all about choices, it's your legal right to decide what to believe and I real do respect every single one's right to what one decides to worship BUT that doesn't change the fact the the Qur'an is as Mbingu na ardhi when compared with the rest of religious sources....

With due respect, I suggest that we conduct humble and respectful discussion if it is necessary while we maintain civilized rules of discussion with concrete counter arguments
 
Tafuta any religious sources ambayo unaweza kuweka kwenye mizani simulizi take ya kisa cha YUSUF na kilivyosimuliwa kwenye SURATUL YUSUF.....

That is a fair CHALLENGE what am sure HUTAKAA UIPATE, lakini pia siyo tu Kisa cha YUSUF hata cha YESU MWENYEWE NA MIUJIZA YAKE.....

Tatizo kusoma hamsomi mnaleta NGANO na MASIMULIZI hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

UTAISHIA KUFADHAIKA TU!!!! Anza mwanzo wa Sura mpaka mwisho uone miujiza ya MOLA MLEZI.....

" And thus, We established Joseph in the land that We might teach him the interpretation of events. And Allah is predominant over His affair, but most of the people do not know" 12:21

"And thus We established Joseph in the land to settle therein wherever he willed. We touch with Our mercy whom We will, and We do not allow to be lost the reward of those who do good" 12:56

"And the reward of the Hereafter is better for those who believed and were fearing Allah " 22:57
 
Umenena vyema Kabisa,
Ndio maana tangu mwanzo nikasema kwenye Quran jina la Malaika mtoa roho halijatajwa.

Tukirejea kwenye hoja,
Ikiwa Quran inamtaja Malaika mtoa roho, je vipi aliyepewa mamlaka ya kurudisha roho za wanadamu? Je Quran imemtaja?

Maana Kwa upande wa Biblia imemtaja Yesu Kristo ndiye atakayesimamia shoo
Jina la malaika mtoto limetajwa sana tu
Limetajwa kwa jina hili MALAKUL MAUTI

Aya m nishakupa dokezo
 
And We certainly sent into every nation a messenger, [saying], "Worship Allah and avoid Taghut." And among them were those whom Allah guided, and among them were those upon whom error was [deservedly] decreed. So proceed through the earth and observe how was the end of the deniers.
Qur'an 16:36

[We sent them] with clear proofs and written ordinances. And We revealed to you the message that you may make clear to the people what was sent down to them and that they might give thought.
Qur'an 16:44

Of course life is all about choices, it's your legal right to decide what to believe and I real do respect every single one's right to what one decides to worship BUT that doesn't change the fact the the Qur'an is as Mbingu na ardhi when compared with the rest of religious sources....

With due respect, I suggest that we conduct humble and respectful discussion if it is necessary while we maintain civilized rules of discussion with concrete counter arguments

Ulichoamua kukiamini Kama ulivyosema ni Haki yako na haki ya kila mtu.

Lakini ukisema Quran ni mbingu na Ardhi na Dini zingine wakati ime-copy maandiko ya Dini ya kiyahudi na kikristo hapo ndipo naona shida inapoanzia!

Kitu kinachonishangaza kwenye Quran ni kuwa imeiba Maandiko ya Kiyahudi lakini imekataa Kumuiba Jehovah Mungu WA kiyahudi hapo ndipo unaona Hila za Muhammad na wafuasi wake Enzi hizo.

Haiwezekani mchukue maandiko na wahusika wa jamii nyingine alafu mumuache Mungu wao alafu mkamfanya ati Allah ndiye aliyemuongoza Musa, na kina Daudi au Kina Yesu.

Hata ukitumia akili za darasa la pili haileti maana.
 
Dah!! Karne ya 21 unaamini Qur'an imecopy?? Mbona basi hicho ambacho unadai ndiyo asili kina story zinachanganya na kugongana?

Inakuwaje kitabu cha Mungu upande moja kinamzungumzia Mtume kama kiongozi na mwema upande wa pili anakuwa mwovu?

Angalia kwenye BIBILIA NUHU tunaelezwa baadaye akawa MLEVI [ALCOHOLIC], LUTI AKAZINI NA WANAWE WA KIKE, DAUDI AKAZINI NA MKE WA KAMANDA WAKE NA KUMUUA MWENYE MKE!!!

MBONA haya huyakuti kwenye QUR'AN???? Mifano ni michache tu hiyo!!!

LAKINI SISHANGAI MAANA HATA MOLA MLEZI MWENYEWE AMESEMA "NI WACHACHE KATIKA WATU NI WENYE KUZINGATIA"

Ni vitabu VIWILI TOFAUTI na VIKO MBALI KWA YALIYOMO KAMA MBINGU NA ARDHI!!!!

Shida hausomi!!!! SOMA HALAFU UTOE HOJA!!!

Leo hii kwenye bibilia tunasoma maneno ya watu waliokuja muda mrefu baada ya YESU na kuyafanya maneno ya Mungu!!!!! Very contra to the HOLY QUR'AN
 
Ulichoamua kukiamini Kama ulivyosema ni Haki yako na haki ya kila mtu.

Lakini ukisema Quran ni mbingu na Ardhi na Dini zingine wakati ime-copy maandiko ya Dini ya kiyahudi na kikristo hapo ndipo naona shida inapoanzia!

Kitu kinachonishangaza kwenye Quran ni kuwa imeiba Maandiko ya Kiyahudi lakini imekataa Kumuiba Jehovah Mungu WA kiyahudi hapo ndipo unaona Hila za Muhammad na wafuasi wake Enzi hizo.

Haiwezekani mchukue maandiko na wahusika wa jamii nyingine alafu mumuache Mungu wao alafu mkamfanya ati Allah ndiye aliyemuongoza Musa, na kina Daudi au Kina Yesu.

Hata ukitumia akili za darasa la pili haileti maana.
Mfano; Niambie kwenye bibilia WAPI PAMEELEZWA KWA KINA SUALA LA MIRATHI au wale wanaoweza kuoana kisheria halafu ulinganishe na Qur'an.... UTAJUA HIVI NI VITU VIWILI TOFAUTI...
 
Tafuta any religious sources ambayo unaweza kuweka kwenye mizani simulizi take ya kisa cha YUSUF na kilivyosimuliwa kwenye SURATUL YUSUF.....

That is a fair CHALLENGE what am sure HUTAKAA UIPATE, lakini pia siyo tu Kisa cha YUSUF hata cha YESU MWENYEWE NA MIUJIZA YAKE.....

Tatizo kusoma hamsomi mnaleta NGANO na MASIMULIZI hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

UTAISHIA KUFADHAIKA TU!!!! Anza mwanzo wa Sura mpaka mwisho uone miujiza ya MOLA MLEZI.....

" And thus, We established Joseph in the land that We might teach him the interpretation of events. And Allah is predominant over His affair, but most of the people do not know" 12:21

"And thus We established Joseph in the land to settle therein wherever he willed. We touch with Our mercy whom We will, and We do not allow to be lost the reward of those who do good" 12:56

"And the reward of the Hereafter is better for those who believed and were fearing Allah " 22:57

Ukinijibu masuala haya Kwa ufasaha ntaona unahoja za Msingi.

1. Yusufu ni kabila au taifa gani?
2. Kabla Muhammad hajaja hapakuwa na Stori za Yusufu?
3. Kwa mujibu wa Historia, Mungu WA kabila la Yusufu au taifa alilotokea Yusufu anaitwa Nani?

Kwa kukusaidia kukujibu,
1. Yusufu ni mwebrania, mtoto wa Yakobo, Mungu wao ni Yahwe mpaka hivi leo.
Huyo Allah sio mungu wa Waebrania wala watoto wa yakobo(waisrael)
Huyo Allah mungu wa waarabu hana uhusiano wowote na waebrania wala waisrael.
Yaani alichofanya ni Plagiarism.

2. Muhammad kazikuta Stori za Yusufu na akaziacha, hatuwezi kumtumia yeye Kama Reference ikiwa mwenyewe ni Kama Sisi tuu.
Yaani ni Sawa na Hawa wanaojiita mitume mfano Mwamposa kakuta Stori za kina Yesu alafu waanzishe dini zao alafu kizazi cha kijinga kinachokuja kiichukulie Stori za Mwamposa ATI ndio msingi wao Mkuu wa Rejea😀😀.

Huwezi ukawa umezaliwa umekuta Stori Fulani alafu wewe uka-imodify ukaiita hiyo stori ni yako alafu yakweli😂😂

3. Kihistoria Allah ni mungu wa waarabu wa kabila la kurdi hata kabla Mtume hajazaliwa,
Hata kuabudu ijumaa waarabu walikuwa wanaabudu miungu hapo Makka hata kabla ya Mtume kuzaliwa.
Ndio maana nikakuambia kabla hujaingia kwenye dini Fulani lazima uijue dini hiyo na historia yake vizuri.

Embu jaribu kuondoa maandiko yote ambayo Quran imeyaiba kwenye Biblia au maandiko ya kiyahudi alafu uone hiyo Quran unayoiamini itabakiwa na Jambo lipi zito.
 
Back
Top Bottom