Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa.

Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa. Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna uzi wa mtu alitabiri kama sijakosea huu mwaka 2020 kwamba watakufa watu wengi sana maarufu, wanasiasa na wasanii, mwenye kuupata aupandishe tujifunze kitu.
 
Jamani kuna Uzi Fulani Wa jamaa nishasahau anaitwaje ila alitabiri kiongozi wa Serikali ya awamu ya 5 na namna Serikali itavyoendeshwa. Na utabiri huo aliufanya kabla ya 2015 kama sikosei ni 2012 au 13 hivi. Mwenye kuupandisha hapa afanye hivyo tafadhali. Ule Uzi tungekuwa tunatoa nyota humu ningeupa nyota 5!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ile Uzi aiseeeee, yaani jamaa alipita mulemule.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom