Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1

Msikilize huyu , halafu toa maoni yako

Your browser is not able to display this video.
 
Wewe si ulikuwa unawacheka MATAGA , sasa unalialia nini hapa? Ata wanaokataa katiba mnayoitaka nyie ni Watanzania hivyo kuwa mpole
 
Acheni upumbavu
Lau angewakubalia mnachokitaka....hakika mngekuja na kingine

Wapuuzi wakubwa nyie
 
Chadema ubongo wenu nahisi upo mgongoni au kwenye makalio kabisa.
Hivi kila tulivyokuwa tunawaonya kutowaona viongozi waliopo ccm kama wakombozi wenu mlijibu nini?

Kwa taarifa yenu SAMIA anaiua chadema KIAKILI bila maumivu
Labda kama humtaki , kila aliyejaribu kuua Chadema alikufa mwenyewe
 
Wewe si ulikuwa unawacheka MATAGA , sasa unalialia nini hapa? Ata wanaokataa katiba mnayoitaka nyie ni Watanzania hivyo kuwa mpole
Mataga wamekosa teuzi , hilo halina ubishi na waliokuwemo wameng'olewa
 
Kwahiyo hajaupiga mwingi tena ndani ya siku 100?? Na nyie wanaufipa mnazidi kutuchanganya kabisaaa.
 

poleni bana, zam kwa zam πŸ˜‚
 
Huyu Mama Samia labda ajifanye mwehu vinginevyo atapewa maneno yatakayomdhalilisha hadi ajute kuwa Rais! Magufuli pamoja na kichwa ngumu alichanganyikiwa akawa anaropoka kuwa siku moja ina saa 48, Rais Saddam ni wa Kuwait nk
 
Waliokuwa wanamsifia Samia si kwamba walikuwa wanampenda bali walimtumia kama kipoozeo cha hasira zao dhidi ya Magufuli......sasa msiba umeisha na nyoyo zao zinarudi katika hali ya kawaida na kukutana na uhalisia wa mambo.....
 
Huyu Mama Samia labda ajifanye mwehu vinginevyo atapewa maneno yatakayomdhalilisha hadi ajute kuwa Rais! Magufuli pamoja na kichwa ngumu alichanganyikiwa akawa anaropoka kuwa siku moja ina saa 48, Rais Saddam ni wa Kuweit nk
Akileta Katiba mpya hatofika huko , ngoja tuone
 
Labda kama humtaki , kila aliyejaribu kuua Chadema alikufa mwenyewe
Mkuu tatizo la chadema ndio hili,majibu mepesi mepesi.KIFO kipo tu hata SAMIA akifa ila MFUMO utabaki.ADUI yenu nyinyi sio SAMIA wala MAGUFULI,kama mnavyojieleza adui yenu ni MFUMO,na ndio mnatakiwa mjikite huko
 
Nashauri: chadema wakiendelea kushupaza shingo kwenye hili wapigwe tu
 
Msikilize huyu , halafu toa maoni yako

View attachment 1834769

Mkuu huyu nimesikiliza vizuri. Yaone haya:

1. Anadai hakuahidi katiba mpya wala haoni umuhimu wake. Kwake kipaumbele chake ni alichoita kuinyoosha nchi. Sauti yake, ukakamavu wake na body language yote "he meant business!" Hakuwa na mzaha. Huyu ilikuwa Ama zangu ama zenu.

2. Mama akiongea alitamka "kwa maoni yake apewe muda asimamishe uchumi kwanza." Alisema anatambua katiba mpya ni muhimu bali apewe muda. Huyu hakufunga mlango kabisa kuwa hili hakuna.

Mama kauli yake ilikuwa yenye kuomba na ya upole. Body language yake ya kiungwana. Hakuonyesha popote kuwa "ilikuwa ama zenu ama zangu."

Mafanano yao wote yapo sehemu moja tu katiba mpya kwao si kipaumbele kwao.

Mama alishasema Samia = JPM. Ninapata ukakasi kwa nini kauli yake hii mwanzo hakukuwa na kelele hizi za sasa. Bila kusahau kuwa maneno matupu hayavunji mfupa. Kauli ya maneno matupu, Mama kaithibitisha kwa vitendo:



Kwanini alichosema Mama tusichukulie kama maoni yake? Na kwamba nasi tunampa yetu kuwa maoni yake hayakubaliki maana kwetu katiba ni kipaumbele, ukizingatia suala la Katiba ni letu sisi wananchi?

Maoni yako tafadhali.

cc: BAK
 
Chadema ubongo wenu nahisi upo mgongoni au kwenye makalio kabisa.
Hivi kila tulivyokuwa tunawaonya kutowaona viongozi waliopo ccm kama wakombozi wenu mlijibu nini?

Kwa taarifa yenu SAMIA anaiua chadema KIAKILI bila maumivu
Lethal syringe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…