Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nagonga meza😂😂😂Hivi Chadema unaowaongelea mnakutana nao wapi?
Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni
Mabibi na mabwana kumekuwa na kasumba ya kuwafungamanisha wajumbe mitandaoni na vyama vya siasa labda kulingana na maudhui ya mabandiko yao. Dhana hii kwa hakika ni potofu sana, hasa pale wajumbe husika wanapokuwa hawajijitanabaisha hivyo wazi wazi na kwa IDs zilizokuwa verified. Itoshe kusema...www.jamiiforums.com
Kama ni hao hakuna shaka akili zenu zitakuwa mgongoni au kwenye makalio.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Cc: BAK, Erythrocyte, Extrovert
Hakuna,na MAGUFULI aliwapa trela tu mkaambulia mbunge mmoja tu,serikali ikiamua inawezani nani aliwahi kuiua chadema ?
Nagonga meza😂😂😂
Aisee,naona mauzauzaTatizo nchi inaongozwa kutoka Msoga!🚶🚶🚶View attachment 1834758
Hahaa!Mlimsifia sana,endeleeni kumsifu.
Dah! Yaani hadi wamemlazimisha PM Majaliwa kuvaa barakoa?Tatizo nchi inaongozwa kutoka Msoga!🚶🚶🚶View attachment 1834758
Huyu mzeee sas hiv kam nani si anatakiwa atelie msoga ???Tatizo nchi inaongozwa kutoka Msoga![emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 1834758
mi 7 tena kwa mama tafadhalini.Uko sawa kabisa Mkuu. Aliyeshika usukani kwa kutumia remote control ni Kikwete. Maza hafanyi lolote bila input ya Kikwete hivyo mwenye final say ni Kikwete.
mama anaua nyani kwa sindano ya usingizi[emoji16][emoji16][emoji16].Chadema ubongo wenu nahisi upo mgongoni au kwenye makalio kabisa.
Hivi kila tulivyokuwa tunawaonya kutowaona viongozi waliopo ccm kama wakombozi wenu mlijibu nini?
Kwa taarifa yenu SAMIA anaiua chadema KIAKILI bila maumivu
Uko sawa kabisa Mkuu. Aliyeshika usukani kwa kutumia remote control ni Kikwete. Maza hafanyi lolote bila input ya Kikwete hivyo mwenye final say ni Kikwete.
Kuna baadhi ya watu hawataona mbinguMtoto wa mjini walim miss sana nashangaa sahizi wanamkandia yani watanzania vigeu geu kama location ya nyapu😂😂😂
Implying
hata Katiba atafanya tu
JK alikua open minded
Na kwa kuwa ndo mshauri mkuu wa Mama tutarajie mwelekeo sahihi
JK is the best and only person who knows how it feels to be in SSH shoes
Jmn JK alitufanya tukatulia kama Mama vile
Si mlimiss ss sahivi watu wanadiss nini tena jmn?.
Katiba mpya ni ya wananchi , siyo ya MboweMi hushawishika sana na kiwango cha madarasa mtu aliyopitia. Ndo maana ya elimu; kuweza kufikiri na kubuni utatuzi. Nikishasikia mtu mwenye mpangilio mbovu wa elimu sikupi nafasi.
Nawe nakushangaa maana ni shabiki wa Mbowe kwa miaka yote wakati ukifahamu hana taaluma.
very wrongHakuna,na MAGUFULI aliwapa trela tu mkaambulia mbunge mmoja tu,serikali ikiamua inaweza
ILA chama hakifi kama binadamu,chama kufa ni kupoteza nguvu ya ushawishi kwa wananchi
Tunamuombea sana ili asikengeukeIla Jamhuri ya Twitter are impatient af
Mama kaja juzi tu jmn give her a break
mi naona she is doing too much already
Apewe muda..
ana mwelekeo km wa JK
JK si ndo alifanya hii ya Katiba?.
Hata Mama believe me atafanya
aangalie asipelekwe Yeye MzenaMama piga spana